ubovu wa barabara mwanagati

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. KERO Barabara za Mwanagati hazipitiki msimu huu wa mvua. Magari yanaharibika. Daladala zinalazimika kupandisha nauli

    Habari, Licha ya kuwepo Malalamiko ya mara kwa mara kuhusu adha ya ubovu wa barabara Maeneo ya kuanzia Juu kidogo kwa Mpalange mpaka Kituo Cha Mwisho Mwanagati lakini hakuna hatua zinachukuliwa. Soma malalamiko Hapa Barabara ya Maeneo haya imekuwa shida kubwa na haipitiki kwa urahisi kiasi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…