ubovu wa taa za barabarani

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. KERO Arusha; Taa za kuongoza magari zina zaidi ya mwezi mmoja hazifanyia kazi

    Taa za kuongoza magari katika barabara kuu iliyopo eneo la friend's corner jijini hapa ambapo ni mita chache kutoka stand kubwa ya mabasi ya mikoani hazifanyi kazi kwa zaidi ya mwezi mmoja sasa, na hivyo kuhatarisha Usalama kwa wanaovuka kwa miguu.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…