Moja kati ya vitu ambavyo nilikuwa najiuliza ni kama Watanzania tunaweza kutunza Miundombinu yetu ya Reli ya SGR, bila unafiki ukiitazama imekaa poa kwa asilimia kubwa.
Lakini jioni ya leo Oktoba 18, 2024 wakati najiandaa kusafiri na usafiri huo nilipoingia kwenye Choo cha Kituo cha SGR Dar...