Wakuu
Umoja wa Madereva na Makondakta wa Daladala Mbeya Jiji (UDEKO) umetoa wito kwa Mbunge wa Mbeya Mjini na Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Tulia Ackson, kugombea tena Ubunge katika jimbo hilo kutokana na kazi nzuri aliyoifanya katika kipindi chake cha uongozi...
Akijibu hoja ya ukomo bungeni, Christian Bwaya ameandika:
"Wabunge wengi wana mipango ya muda mrefu kaka. Tuwaelewe.Miaka mitano ya mwanzo —kulipa madeni makubwa ya uchaguzi. Miaka mitano ya pili —kufanya uwekezaji mkubwa ili kuwa na nguvu ya kichumi.
Kuingia rasmi kwenye tabaka tukufu.Miaka...
Naona wazee wamesha lamba asali na imekolea utamu! Mpaka nao hawana maana wamekalia uchawa! Tunaenda wapi?
Taratibu CCM wanaanza kuingiza mambo za kupita bila kupingwa, tusipokaa vizuri hii itasongea mpaka kwenye uchaguzi Mkuu warudishe mambo mambo za 2020.
Imeanza kwa Samia na Nchimbi...
Habari wanajamii napenda kumshukuru MWENYEZI MUNGU mwingi wa rehema kwa kutupa neema hii ya pumzi mpaka muda huu
Barua yangu hii fupi naomba niweke mahususi kwa viongozi wa nchi wakiongozwa na Mheshmiwa Raisi na wasaidizi wake wote katika kila taasisi naimani ni wenye afya na mko salama...
Wakiwa katika Mkutano Mkuu Maalum wa CCM msanii maarufu Baba Levo akiwa na mfanyabiashara mkubwa Tanzania Fred Vunjabei Babalevo amemtaka mfanyabiashara huyo kuacha uoga kutaka kugombea kiti cha ubunge katika uchaguzi wa mwaka 2025.
Wakuu,
Kash kash zimeanza rasmi sasa!
=====
Mbunge wa Jimbo la Ubungo na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Mipango na Uwekezaji, Prof. Kitila Mkumbo, Januari 1, 2025, amewahutubia wajumbe wa Mkutano Mkuu wa CCM wa Jimbo la Ubungo katika hafla ya kuukaribisha mwaka mpya iliyofanyika Ubungo Plaza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.