"Nilikutana siku moja na mjomba wangu, Lema, akaniambia: 'Bwana, ni hivi tu, mimi ni mpinzani, siwezi kusema hadharani, lakini nataka niwaambie—mzigo anaoupiga Dkt. Samia umenifanya hata hamu ya kugombea iniishe.'"
"Sasa, kama mtu kama Lema ameanza kuwa na hekima, basi ujue tuko karibu kuiona...