ubunge iringa mjini

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. J

    Pre GE2025 Inadaiwa RC Chalamila, Steve Nyerere, RC Kenani na Mchungaji Msigwa watagombea Ubunge Iringa Mjini

    Ndio taarifa zilizopo hapa Miyomboni Iringa kwamba inadaiwa miamba hiyo ni miongoni mwa wanaopitapita mitaani kuweka mambo sawa Hata hivyo Jesca ambaye ni Mbunge wa sasa na Team Lowassa aliyetukuka anatajwa kutetea Jimbo lake Ngoja tuone πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ”₯ Kwako Lucas pale Vwawa πŸ˜„
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…