Mbunge wa zamani wa Urambo Magharibi na waziri wa wizara mbili tofauti nchini, Profesa Juma Kapuya amechukua fomu ya kuwania ubunge jimbo la Kaliua, Tabora.
===
Prof. Juma Kapuya kama utakuwa unakumbuka alikuwa waziri wa ulinzi na mbunge wa Urambo Tabora wakati wa utawala wa Rais Mstaafu wa...