Wanafunzi wa Shule ya Msingi Mgolobyo, Kijiji cha Mgolobyo Kata ya Miganga mkoani Singida wameelezea Furaha yao mara baada ya kupokea Taulo za kike ( Pads) kutoka kwa Mbunge wa Viti Maalumu Mkoa Wa Singida Mhe. Jesca Kishoa na kusaidia kuepukana na gharama za kununua taulo hizo za kike...