Wakuu,
Lissu hapa majuzi aliuliza imekuwaje CCM ina wabunge 6 zaidi huku chadema ikiwa na 1 kwenye nafasi ya ubunge wa viti maalum, lakini pia Lissu huyu huyu alisema wabunge wa viti maalum wawe wanapewa muhula mmoja, akisema huo unatosha kufanya mtu ajipange na kujijenga kuwania nafasi hiyo...
Wakuu,
Hivi kwanini hawa celebrities hudhani kuwa just because wao ni maarufu basi automatically wanakuwa na mvuto wa kisiasa?
Kuna huyu mmoja anajiita Davina (kwa wale waangaliaji sugu wa Bongo Movie wanamjua) mwaka 2021 aligombania viti maalum, huko CCM Iringa wakampiga chini.
This time...
Tundu Lissu Makamu akizungumza kupitia clubhouse leo Desemba 23 amesema kuwa "Tutaweka ukomo wa Ubunge wa Viti Maalum ili wanawake wengi wanaokipigania Chama wapate fursa na isiwe kikundi cha watu wale wale miaka yote".
Pia soma
- Pre GE2025 - Tundu Lissu: Mimi sina maslahi binafsi kwenye...
Kuna umuhimu gani wa kuwa na wabunge wa kuteuliwa?
Hii tabia ni muendelezo wa kulipana fadhila tu kwa chama tawala ccm.
Mwache mtu agombee apite kwa kupigiwa kura na wananchi kama anakubalika basi atakuwa mbunge wetu.
Kwanini umteue kiongozi wakati viongozi wote wanapatikana kutoka kwa wapiga...
Leo Bungeni baada ya kipindi cha maswali na majibu, Spika wa Bunge Job Ndugai amesimama na kumkemea Nape Nauye, Mbunge wa Mtama ambaye hivi karibuni alitoa maoni yake binafsi kuwa wale wabunge 19 waliotimuliwa na CHADEMA sio wabunge halali.
Ndugai, akonekana mwenge wasiwasi na aliyepoteza...
Tunakumbushana tu.
Tundu Lissu alikuwa na dada yake Bungeni
Zitto Kabwe alikuwa na dada yake Bungeni.
Dkt. Slaa alikuwa na mtalaka wake Bungeni
Ndesamburo alikuwa na mwanae pamoja na mkwewe bungeni
Mbatia alimpeleka dada yake bunge la Afrika Mashariki nk nk
Kila jambo na wakati wake, awamu...
Ni imani yangu viongozi wa CHADEMA leo wataweka mbele heshima ya chama kwa kulinda katiba ya chama hicho pale watapowafukuza wasaliti 19 kwa mpigo na kuweka historia ya kufukuza Wanachama Waandamizi 19 kwa mpigo ili kulinda Katiba ya chama.
Hakika leo itakuwa ni siku ya historia kwa CHADEMA na...
Habari zenu ndugu wanajamii forum:
Kwanza kabisa naomba niwape hongera|pole kwa wale wote walioshinda|kushindwa uchaguzi.
Pili naomba nije moja kwa moja kwenye maada hapo juu! Tumeona huku kwetu bara CUF wameambulia jimbo 1 na chadema wameambulia jimbo 1 huku ACT hawajapata kitu. Sasa...
Leo nimemsikia Spika akiongea kuwa humo mjengoni hakuna siyejua shida wanazopitia wabunge wa viti maalum wa Chadema.
Imekuwa siri ya wazi na iliyokubalika kwa jamii kuwa ukitaka viti maalum Chadema, lazima Mwenyekiti na kambi yake waridhishwe na wewe.
Ila leo ndo mara ya kwanza kumsikia mkuu...
Nimeona mwaka huu wanawake wale wasiojiheshimu na waliopoteza heshima kwenye jamii wanatangaza nia ya kugombea ubunge wa viti maalum.
Kuitwa mbunge kunaenda sambamba na kuitwa mheshimiwa, jina/cheo kinachoonekana kuwa na hadhi ya juu nchini Tanzania.
Kilichonishangaza ni kuwa watu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.