ubungo interchange

Ubungo is a district north west of Dar es Salaam central business district, Tanzania. It is located in the western part of the province.
Ubungo was formerly a ward in the Kinondoni District of Dar es Salaam.

View More On Wikipedia.org
  1. A

    KERO Mfumo wa Gesi uliopo Ubungo Interchange unavuja na kuleta kero kwa Wanafunzi Chuo cha Maji

    Kuna kero ya mfumo wa Gesi kuvuja katika eneo la darajani Ubungo Interchange (Fly-over) ambapo mkondo wa bomba la gesi umepita imekuwa kero kwa wanafunzi hasa wa Chuo cha Maji na wafanyabiashara wa maeneo ya karibu. Tunaomba Serikali ifanye uchunguzi juu ya suala hili
  2. F

    Amb. Kijazi Interchange, Mchina arudi kufanya usafi na ulinzi? Tz tumeshindwa?

    Kuna usemi wa Kijaluo kwamba "Solution to One Problem Carries the Seeds for the Next Problem" yaani "ufumbuzi wa tatizo moja hubeba mbegu za kuotesha tatizo jingine, tafsiri isiyo rasmi" Daraja-kavu la Amb. Kijazi Interchange katika Manispaa ya Ubungo jiji Dar es Salaam ambalo mwanzoni...
  3. MPUNGA MMOJA

    Flyover yazidiwa, foleni yake yashangaza watu

    Leo kwa mara ya kwanza wakazi wa Dar Salaam hasa wameshangazwa na foleni ya magari katiki barabara ya Juu (Flyover). "Tumekua tukiamini hii jia ya juu ndio suluhisho la foleni ajabu leo tunaona nayo ina foleni" alisikia mmachinga wa karibuna eneo hilo.
  4. mngony

    Interchange ya Ubungo kutojengwa kama ilivyokusudiwa. Kwanini ilipunguzwa Ubora?

    Kwanza tujikumbushe kuwa gharama ujenzi wa 'flyovers' na 'interchanges' ni msaada 'Grant' kutoka serikali ya Japan na nyingine ni mkopo kutoka Benki ya Dunia (Mabeberu) . Mikataba ulishaingiwa kujenga aina 6 za mfano wa hizo katika makutano ya barabara hapa mjini tangu awamu ya 4 mwishoni. Watu...
Back
Top Bottom