Leo kwa mara ya kwanza wakazi wa Dar Salaam hasa wameshangazwa na foleni ya magari katiki barabara ya Juu (Flyover).
"Tumekua tukiamini hii jia ya juu ndio suluhisho la foleni ajabu leo tunaona nayo ina foleni" alisikia mmachinga wa karibuna eneo hilo.