Ubungo kuna shida ya maji sio poa
Usijichanganye ukapanga Ubungo kibangu, kajima,makoka, Rivaside juu au Msewe, maeneo mengi ya Mbezi
Mfano Ubungo kibangu huwa ni kawaida ya watu kukaa miezi mitatu mpaka 6 bila maji
Maji yakitoka ni mara moja kwa mwezi tena yatoke hata lisaa hayamalizi...
Hili jambo linalosikitisha sana,maji hayatoki zaidi ya mwezi sasa, wakazi wa eneo la Ubungo Kibangu tunanunua dumu la maji elf moja kwa fresh na yenye chumvi Tshs 200-500.
Imekuwa ni kawaida kwa eneo hili kuwa na kero ya maji,mara nyingi yalikuwa yakitoka Jumamosi jioni au jumapili,muda...
Habari wanafamilia wa JF,
Niende moja kwa moja kwenye hoja:
Kumekuwa na shida ya makusudi ya upatikani wa Maji katika eneo la Ubungo Kibangu na maeneo jirani kama Riverside.
Hapo awali maji yalikuwa yakitoka Kwa wiki mara mbili, baadaye ikawa yanatoka siku moja kwa wiki kati ya Ijumaa hadi...
Anonymous
Thread
kukatika maji kimara
mgao wa maji ubungo
shida ya maji ubungoubungokibangu
wilayani ubungo maji shida
Nabii kijana Clear Malisa amedhamiria kuinunua Ubungo Kibangu yote akianzia Riverside hadi kwenye mpaka wa kambi ya Jeshi la Wananchi.
Tayari ameahidiwa fungu kubwa la pesa na Baba wake wa Kiroho aliyeko Marekani.
Pia michango inawndelea kuchangwa na kupokelewa hapo kanisani kwake Kingdom...
Maeneo ya Kibangu Juu huku mitaa ya kwa Mdee, kwa mgogo, novo, gide yote haina maji ni wiki mbili rasmi tumefikisha leo bila maji.
Bora maeneo mengine yanapatikana hata kwa mgao, sisi hatuoni hata ya mgao wala nini na huku hata mbadala wa visima hamna yaani ni kilio.
Dawasa mnajua kututesa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.