ubungo

Ubungo is a district north west of Dar es Salaam central business district, Tanzania. It is located in the western part of the province.
Ubungo was formerly a ward in the Kinondoni District of Dar es Salaam.

View More On Wikipedia.org
  1. DC Ubungo alalama mizengwe usimamizi wa Ujenzi wa darasa katika Shule ya Msingi Golani B

    Mkuu wa Wilaya ya Ubungo Lazaro Twange ameonyeshwa kukerwa na wasimamizi wa Ujenzi wa darasa katika Shule ya Msingi Golani B kwa kushindwa kutoa vizuri baadhi ya taarifa alizozihitaji kuzifahamu kuhusu mradi huo, baada ya kufika hapo kukagua maendeleo ya Ujenzi. DC Twange alifika katika eneo...
  2. DC Ubungo afika nyumbani kwa Damian Method anayedaiwa kutekwa na watu wenye silaha, asema uchunguzi unaendelea

    Wakuu Mkuu wa Wilaya ya Ubungo Lazaro Twange amefika nyumbani tarehe 03 Februari, 2025 akisema vyombo husika vinaendelea na uchunguzi wa tukio la kutekwa kwa Damian Method huku akiitaka familia kutoa ushirikiano mara wanapopata taarifa yoyote kuhusu tukio hilo la utekaji. Kijana anayejulikana...
  3. DC wa Ubungo, Lazaro Twange azungumzia uhaba wa Maji na ubovu wa Barabara Kimara, asema kuna Mkandarasi amekimbia 'site'

    Mkuu wa Wilaya ya Ubungo, Lazaro Jacob Twange amewataka wataalam wanaosimamia miundombinu ya barabara kufanya kazi kwa haraka na kukamilisha kwa wakati ili wananchi wapate huduma. Mh. Twange ametoa maelekezo hayo katika ziara yake ya kusikiliza na kutatua changamoto mabalimbali za wananchi ...
  4. Pre GE2025 Barua ya wazi kwa mheshimiwa ex mayor wa ubungo na mwenyekiti wa chadema kanda ya Pwani

    Salaam na heshima kwako mheshimiwa Boniface Jacobo Mayor mstaafu na Mwenyekiti wa Kanda ya pwani chama Cha demokrasia na maendeleo CHADEMA. Kiongozi kabla ya kusema niliyowiwa kuyasema naomba kutambua unao washauri wengi sana wenye vyeo na nafasi kubwa kuliko Mimi ila naomba unipe dakika...
  5. N

    NIDA Ubungo: Wafanyakazi wabuni biashara ya kukodisha Kanga kwa wanaofuata vitambulisho

    Ofisi ya Nida ubungo wameanzisha biashara nyuma ya zoezi la ugawaji wa vitambulisho linaloendelea. - Wafanyakazi wa getini wamekuwa wakitoza elfu moja moja ya kanga kwa wanawake ambao wamekuja wakiwa wamevaa suruali za jeans au nguo ya kata mikono. Unapofika tu getini kuuliza, kama umevaa...
  6. Job Vacancies at Ubungo Municipality – Feb 2025

    Ubungo Municipality hereby announces job vacancies for one-year contract positions in the fields of Engineering and Driving as per the recruitment approval from the Permanent Secretary of Public Service Management. Interested Tanzanians with the required qualifications are invited to apply for...
  7. KERO Wananchi Saranga Ubungo (Dar es Salaam) walia uhaba wa Maji, wadai ndoa zao ziko hatarini sababu muda mwingi wanautumia kutafuta maji

    Wananchi wa Mtaa wa Saranga Mpakani, Wilaya ya Ubungo, wameiomba serikali kuwapatia huduma ya maji na kuondokana na changamoto hiyo iliyodumu kwa muda mrefu. Wakizungumza mbele ya Mkuu wa Wilaya ya Ubungo, Lazaro Twange, wananchi hao wamelalamika kutokuwepo kwa huduma hiyo na kutegemea maji ya...
  8. Kituo cha Biashara Ubungo then asilimia 100 ya products ni imported tena kutoka China, inasikitisha mno

    Ni wajinga ndio wanaweza shangilia huu ujinga, haiwezekani kijengwe the so called kituo cha biashara na asilimia 100 ya products hapo ni kutoka nje na tunaona ni sawa kabisa tena tunashangilia na kushangilia kabisa kwamba sasa maisha yatakuwa rahisi sana. Ni sawa na Kariakoo pale na hivyo...
  9. S

    KERO Ukosefu wa Maji Baadhi ya Wananchi Mtaa wa Luguruni Wilaya ya Ubungo

    Ukosefu wa Maji Baadhi ya Wananchi Mtaa wa Luguruni Wilaya ya Ubungo Tangu Februari 2024, baadhi ya wananchi wa Mtaa wa Luguruni tumekutana na tatizo la ukosefu wa huduma ya maji. Tumeshajaribu kuwasiliana na DAWASA ili kutafuta ufumbuzi, lakini hadi sasa hatujapata hatua za vitendo wala...
  10. D

    EACLC Ubungo inafunguliwa lini? Muda unasogea tu, watu tunataka huduma

    I WILL BE SHORT Wengi tunasubiria hii complex ifunguliwe , naona tarehe inasogea , it was december , naona now kimya ?? When are they planning on opening this complex ,watu tufungue biashara mikoani , kariakoo kumekuwa kubaya sana , whole sale business imekufa . Kariakoo imejaa mawinga , no...
  11. Waziri Ulega Atoa Maagizo ya Kuboresha Miundombinu ya Barabara Kipande cha Ubungo Hadi Kimara Kuepusha Msongamano

    WAZIRI ULEGA ATOA MAAGIZO YA KUBORESHA MIUNDOMBINU YA BARABARA KIPANDE CHA UBUNGO HADI KIMARA KUEPUSHA MSONGAMANO Waziri wa Ujenzi, Mheshimiwa Abdallah Ulega, ametoa maelekezo ya haraka kuhusu mradi wa upanuzi wa miundombinu ya barabara za mabasi yaendayo haraka (BRT)Awamu ya Kwanza kipande cha...
  12. NSSF hawajakoma? Baada ya kujenga maghorofa ya Dege Kigamboni, yakadoda, Ubungo Plaza, Hoteli Mwanza, sasa wanajenga hotel ya nyota tano Dodoma.

    Katikati ya tetesi za mapendekezo ya watumishi kustaafu wakiwa na miaka 65 ili kuiokoa mifuko hii ya hifadhi ya jamii., mifuko hii ambayo kimsingi ni mahututi, NSSF wanakuja na hoja ya kujenga hotel ya nyota tano Dodoma. Ni ujinga mwingine.
  13. KERO Dawasa kwanini Hakuna Maji Maeneo ya Kimara, na hamtoi taarifa Yoyote

    Ni karibu mwezi sasa maji ya dawasa yanatoka kwa machale maeneo ya kimara. Yaani, yanatoka kwa masaa 24, baada ya hapo hayapo mpka baada ya siku tatu ndio yanatoka tena. Mfano mara ya mwisho mabomba kutiririsha maji ni siku ya jumanne, hadi leo hakuna kitu. Na hii hali ina karibia mwezi sasa...
  14. N

    DOKEZO Hospitali ya Wilaya ya Ubungo, pesa za vipimo zinazolipiwa Maabara bila stakabadhi zinaenda sehemu sahihi?

    Picha: Ubungo Manispaa Mwaka 2021, Mwenge wa Uhuru ulizindua Hospitali hii ya Ubungo ili kusaidia Wakazi wa maeneo hayo kuwa na Hospitali ya Wilaya. Hospitali hii inatoa huduma nyingi na za msingi kuanzia huduma ya mama na mtoto, kujifungua, hadi upasuaji. Licha ya kuwa hospitali hii yenye...
  15. Gari limeacha njia na kuparamia fremu za maduka Ubungo Riverside

    Gari lenye namba za usajili T405 DPJ limeacha njia na kuparamia fremu za maduka na mabucha ya samaki eneo la Ubungo Riverside Jijini Dar es salaam asubuhi leo December 02,2024. Hadi sasa majeruhi wanne waliokuwa ndani ya fremu hizo wametolewa na jitihada za Jeshi la Zimamoto na Uokoaji na...
  16. A

    KERO Changamoto ya Maji Ubungo Makubuli wiki ya tatu hayajatoka

    Katika kata ya Ubungo Makubuli baadhi ya vijiji vyake ikiwa Kibangu, Wanaichi kwa wiki tatu sasa wamekosa huduma ya Maji kutoka DAWASA hivyo kupata shida na kuhofia mlipuko wa magonjwa na hawana msaada wowote.
  17. KERO Kituo cha Daladala Mbezi Mwisho hakina mpangilio wa huduma: TANROADS, Jeshi la Polisi, DED Ubungo na Ofisi ya RC ujumbe huu unawahusu

    Kituo cha Daladala cha Mbezi Mwisho ni mojawapo ya vituo vikubwa na vyenye umuhimu mkubwa Jijini Dar es Salaam. Kituo hiki kinapokea abiria kutoka maeneo mbalimbali ya jiji na pia kinahudumia abiria wanaosafiri kupitia Stand Kuu ya Mabasi ya Kimataifa ya Magufuli. Pamoja na umuhimu wake mkubwa...
  18. LGE2024 Ubungo: Inadaiwa DC Awafungia ndani wagombea wa CHADEMA na kuagiza wapigwe

    Kwamba wanasababisha fujo, ikumbukwe kwamba Wagombea wa uchaguzi wa serikali za Mitaa wa Chama hicho wapo kwenye ofisi za Halmashauri kusubiri hatima yao Ngoja tusubiri namna watakavyopigwa kwa maelekezo ya Mtukufu DC =============== "DC Ubungo, amewafungia ndani Wagombea wa serikali za mitaa...
  19. RC Chalamila: Shule ya Ubungo NHC haiuzwi, inaboreshwa

    Hivi karibuni kupitia mitandao ya kijamii kulizagaa taarifa kuwa Shule ya Msingi National Housing iliyopo Manispaa ya Ubungo Jijini Dar es asalaam inauzwa, kiasi cha kuzua taharuki miongoni mwa wazazi na jamii. Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila amefika shuleni hapo kukutana na...
  20. Halmashauri Ya Ubungo yakanusha taarifa za kuuza shule ya Msingi Ubungo NHC

    Wakuu, Baada ya kuwepo kwa sintofahamu ya kuuza kwa Shule ya Msingi Ubungo National Housing hivi karibuni, Ofisi ya Mkurugenzi wa Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo imekanusha uvumi unaoenea mitandaoni kuhusu kuuzwa kwa shule hiyo. Taarifa hiyo imewataka wazazi kutokuwa na hofu, kwani shule...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…