ubuntu

  1. kipanga85

    Uzi maalumu kwa watumiaji wa vifaa vyote vya kielektroniki isipokuwa vifaa vya Apple

    Wakuu habari za mishe nimefungua huu uzi ili kuhakikisha kuwa pamoja na uwepo wa vifaa vya apple(ambavyo vina gharama kubwa na watumiaji wake wanajiona sana)pia na vifaa vinavyotumia OS zingine viheshimiwe kwani navyo ni viko fire .Share chochote ila isiwe kuhusu iOS MIMI NAANZA NA UBUNTU...
  2. Mufti kuku The Infinity

    Ubuntu Botho

    Ubuntu ni falsafa ya Kiafrika inayojulikana sana ambayo inasisitiza umoja, ushirikiano, na ustawi wa jamii. Neno "Ubuntu" linatokana na lugha za Kiafrika, hasa Kizulu na Kisotho, na linaweza kufasiriwa kwa kifupi kama "Mimi ni kwa sababu wewe uko" au "Mimi ni kwa sababu sisi tuko." Falsafa ya...
  3. poposindege

    Msaada kuhusu Ubuntu ndugu zangu

    Kama kichwa cha habari hapo juu. Ndugu zangu nimesakinisha Ubuntu 22.04 kwenye HP Elitebook Folio 1040. Nimefanikiwa mpaka mwisho lakini nikizima kuwasha tena inakataa. Nimejaribu kupita Google lakini sijaambulia kitu. Naomba mwenye ufahamu anielekeze namna ya kutatua tatizo hili...
  4. Keco Group ltd

    KWA WANAO FAHAMU SOFTWARE YA VIDEO EDIT & GRAPHICS KU INSTALL KWENYE UBUNTU

    Habari wanandugu wenzangu naomba kwa mtu anae fahamu software ya Video Editing na Graphics kwenye Ubuntu tuwasiliane nitamlipa.
  5. B

    Maisha ya UBUNTU na Kanuni zake 4

    Filosofiasoko pekee Afrika inayokamilishana na UBUNTU kutegua kitendawili mama cha familia za waAfrika tangu mataifa ya Afrika tuanze kupata uhuru (Libya 1951) zaidi ya nusu karne iliyopita . "Jinsi ya kupunguza ugumu wa maisha na kuongeza amani na furaha ya familia za waAfrika kwa kupata mfumo...
  6. Victor Mlaki

    Falsafa ya Kiafrika ya Ubuntu inavyoweza kusadia kupambana na ubadhirifu wa mali za Umma Tanzania

    Ubuntu ni falsafa ya Kiafrika inayosisitiza ushirikiano wa jamii kama msingi wa maisha bora. Ubuntu ni neno la Kingoni linalotafsirika kwa Kiswahili kama "mtu si mtu bali watu". Msingi wa falsafa hii ni mtu si mtu bali watu. Katika lugha ya Kihaya "Omuntu ti muntu ka ataliho bantu". Falsafa...
  7. kilama

    Naomba kujuzwa namna ya kurudisha mafaili yaliyopotea na kufanya partition katika Ubuntu

    Wakuu habarini za weekend! Samahani nimefanya installation ya UBUNTU na kuondoa wibdow 10 ila mafaili yangu yakiopo kwenye window 10 siyaoni, pia nimeshindwa kufanya partition katika UBUNTU. Naombe msaada wa kurudisha mafaili yangu na kufanya partition. Shukrani.
Back
Top Bottom