Mwenyekiti wa Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA), Hashimu Rungwe, kwa mara nyingine ameibuka kidedea baada ya kutetea kiti chake kwa ushindi wa kura 118 kati ya 120 katika uchaguzi uliofanyika leo jijini Dar es Salaam.
Akitangaza matokeo hayo, Mwenyekiti wa Kamati ya Uchaguzi, Mohamed Masoud...