Ukitoka kidogo nje ya nchi na ukarudi kwenye viwanja vyetu, utatamani kulia machozi. Pamoja na kwamba kuna ndege kadhaa za kimataifa zinazotua katika viwanja vyetu, lakini mara nyingi viwanja vyetu ni vitupu.
Kama KIA ni mara nyingi tu uwanja hauna hata ndege moja. Dar nako ndege ni chache...