Salaam Wakuu,
Baada ya Mwanachama wa JamiiForums kudai kuna Utiririsha wa Maji taka kwenye Mitaro ya Ubungo Riverside, Manispaa ya Ubungo imetolea ufafanuzi.
Hapa chini ni Ufafanuzi;
"Ufafanuzi kuhusu uwepo wa mazingira hatarishi ya magonjwa ya mlipuko kutokana na utiririshaji wa maji ovyo wa...
Hili sijui ni la Waziri wa Afya ama mazingira ama wote wawili?
Kuna uchafuzi mkubwa sana kwenye barabara za Dar es Salaam pamoja na mifereji na mitaro yake unaofanywa na makampuni yaliyopewa kandarasi za kusafisha barabara za jiji mitaro na mifereji yake na wahusika wala hawagutuki ama kuchukua...
JAMANI HVI KWELI VIONGOZI WETU WA JIJI HILI MMESHINDWA KUSIMAMIA UCHAFU?
Kuna mitaa ya katikati ya kkoo ,aggrey,sikukuu, yanatiririsha mavi taka kwa miezi sasa hakuna kiongozi anaye jari
mbaya zaidi wana Dar es Salaam nao walivyowajinga mama ntilie wanauzia chakula hapo hapo,wachoma miskaki ile...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.