uchafu sokoni

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. milele amina

    KERO Soko la Kiusa, Mkoani Kilimanjaro ni chafu sana

    Hii ni Hali ya Miji wa Moshi Manispaa, Mkoani Kilimanjaro. Hii Hali kwa kweli imeanza kujirudia. Wananchi , wameshuhudia maeneo mengi hasa ya masoko na baadhi ya mitaa ya Kata za pembezoni uchafu ukiwa umezagaa, huko Moshi Manispaa. Wananchi wameshindwa kuelewa shida Iko wapi? Na tatizo ni...
  2. briophyta plantae

    KERO Soko la Marangu Mtoni ni chafu sana, mamlaka zishughulikie changamoto hii

    Soko ni sehemu inayotakiwa kutunzwa na kuheshimiwa sana, ni sehemu ya kibiashara na hasa sehemu tunapopata mahitaji yetu ya chakula kwa tulio wengi. Kwa mji mdogo wa Marangu kuwa na soko lenye taka nyingi kiasi hichi zenye zaidi ya miezi kadhaa bila kutolewa na ikizingatiwa ni mji wa kitalii...
Back
Top Bottom