Dodoma ni moja ya Jiji chafu nchini, uchafu umezagaa hasa maeneo ya Mjini ambapo kuna Mkuu Wa Wilaya na Mkuu wa Mkoa, then kuna hali hii ya Uchafuzi wa Mazingira tena ni urefu wa kilometa mbili kufika makazi ya Waziri Mkuu, nyuma ya Viwanja vya Chinangali Park sehemu ambayo Rais ameshashiriki...