Salamu Wakuu,
Kwa waliowahi kufika Kibamba kwenye mnada maarufu wa nyama tamu ya mbuzi, bila shaka mtakuwa mmekutana na changamoto kubwa ya miundombinu duni – hasa vyoo.
Hali ni ya kusikitisha. Vyoo havina maji tiririka, vinyesi vinaonekana waziwazi, na mazingira ni machafu kupindukia. Vibanda...
Ni bahati mbaya kwamba kwenye jamii yetu sio maofisini, shuleni, vyuoni, majumbani, stendi, filling stations vyoo ni vichafu sana, na kwa baadhi ya jamii zetu vyoo ndio haviingiliki kabisa mfano ukienda Tukuyu mjini vyoo ni vichafu sana hata kwenye miji yetu.
Hali hii inapima kiwango chetu cha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.