uchafu wa mazingira dodoma

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mzee wa Code

    KERO Baadhi ya maeneo Dodoma ni machafu sana, kuna vichaka na maji taka katika ya Jiji, Mamlaka chukueni hatua

    Dodoma ni moja ya Jiji chafu nchini, uchafu umezagaa hasa maeneo ya Mjini ambapo kuna Mkuu Wa Wilaya na Mkuu wa Mkoa, then kuna hali hii ya Uchafuzi wa Mazingira tena ni urefu wa kilometa mbili kufika makazi ya Waziri Mkuu, nyuma ya Viwanja vya Chinangali Park sehemu ambayo Rais ameshashiriki...
Back
Top Bottom