Kwa uzalendo wa hali ya juu na kuthamini vya kwetu, ni jambo la kusikitisha kuona baadhi ya watu wakichafua mazingira kwa kutupa taka hovyo, hasa kandokando ya mito inayoingiza maji katika Ziwa Rukwa.
Katika maeneo kama Makongolosi kwenye Mto Makongoso, Kipoka na mingine, imekuwa kawaida...