uchafuzi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Vifo vya Samaki Mto Mara: Mgodi wa Dhahabu wa North Mara wakanusha kuhusika na uchafuzi wa maji

    Baada ya kuwepo kwa tetesi juu ya uwepo wa kemikali za sumu kwenye maji ya Mto Mara ambapo imesababisha samaki kufa na maji kuwa meusi, Mgodi wa Dhahabu wa North Mara umekanusha kuhusika katika uchafuzi wa maji ya mto huo. Hili hapa tamko kamili... **** Mgodi hauhusiki na uchafuzi wa maji ya...
  2. K

    Uchafuzi wa maji mto Mara

  3. Kamati: Kinyesi na Mikojo ya Mifugo ndiyo chanzo cha kufa samaki mto Mara, sio sumu ya maji ya Migodini

    Musoma. Kamati maalum ya kitaifa iliyoundwa na serikali kuchunguza mabadiliko ya maji ndani ya mto Mara, imetoa taarifa ya chanzo cha mabadiliko katika mto huo yaliyosababisha maji kuwa meusi na kutoa harufu, huku samaki wakifa ambapo chanzo kimeelezwa kuwa ni shughuli za binadamu pamoja na...
  4. Ripoti ya uchafuzi mto Mara, ukweli uko wapi?

    Taarifa ya uchafuzi wa mto mara na kufa kwa samaki, je taarifa iliyotolewa imejaa siasa au uhalisia? Au ni mkakati maalum kama tulivyoanza na machinga (wanachafua jiji) tukaja kwa wamasai ngorongoro wamevamia mbuga, sasa ni zamu ya wanaoishi kandokando ya mito, na pengine hatmaye ni tz nzima...
  5. K

    Mhe. Majaliwa amesema viongozi wanatoka Kwa Mungu, najiuliza hata akina Sabaya walipewa mamlaka na Mungu? Vipi kuhusu viongozi wa uchafuzi 2020?

    Kwa sisi Mawakili wasomi kuhoji ni jadi yetu. Nimesikia Mhe. Waziri Mkuu akizungumzia kuhusu madaraka yanatoka Kwa Mungu. Nikajiuliza tunao wabunge wa bunge la Sasa ambapo wapo waliopita bila kupingwa na wengine walipitishwa na tume kuipitia uchafuzi, je hawa wote wanatoka kwa Mungu? Tuna...
  6. Kwa kinachoendelea Mahakamani kwenye kesi ya Mbowe, imedhihirika CHADEMA walikuwa sahihi kutokwenda Mahakamani baada ya uchaguzi Mkuu wa 2020

    Kuna watu wengi waliituhumu CHADEMA kwa kutokwenda mahakamani baada ya kuporwa uchaguzi Mkuu wa 2020. Cdm walisema baadhi ya taasisi za umma zilizoingiziwa uozo wa siasa chafu za ccm, ni pamoja na mahakama. Kwa sasa kwenye kesi hii ya Mbowe ushahidi unazidi kukaa wazi, na bado kesi haijafika...
  7. D

    Kongole kwenu viongozi kwa hili; Walichokuwa wanakifanya machinga ni utapeli, uchafuzi na kero

    Naomba kutoa pongezi zangu za dhati kabisa kwa viongozi wote walioratibu zoezi hili la kuondoa machinga katika maeneo yasiyofaa! Ni nadra sana kuona zoezi linafanyika kwa hekima kubwa kama hili! Pasipo unafiki busara kama hii imekua adimu kwa mda mrefu sana! Hakuna asiyejua kwamba tatizo la...
  8. Gerson Msigwa aniombe radhi hadharani kupitia chombo cha habari alichonichafulia jina na Utu wangu

    RAIS WANGU SAMIA, MSEMAJI MKUU WA SERIKALI, GERSON MSIGWA ANIOMBE RADHI HADHARANI. Mheshimiwa Rais wa Tanzania na Mwenyekiti wangu wa Chama cha Mapinduzi, Awali ya yote naomba nikupe Pole na hongera kwa majukumu mazito unayoendelea kutufanyia kwa weledi na mafanikio makubwa sisi wananchi wako...
  9. CHADEMA kutohudhuria hafla fupi ya kukabidhi taarifa ya Uchaguzi Mkuu wa Mwaka 2020

    Tumepokea mwaliko kutoka Kwa Mkurugenzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Kwa ajili ya Mwenyekiti Taifa, Katibu Mkuu, aliyekuwa mgombea urais na aliyekuwa mgombea wa umakamu wa urais kuhudhuria hafla fupi ya kukabidhi kwa Rais taarifa ya uchaguzi mkuu wa mwaka 2020. Chama kupitia barua ya Katibu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…