Nimejiridhisha pasina shaka kuwa Rais Samia alikuwa hajajiandaa kuwa amiri jeshi mkuu.
Hivyo wakati wa uchaguzi 2025, nitaungana na Watanganyika wenzangu kumpigia kura ya kutokuwa na imani naye.
Kwa sababu,
1. Uongozi wake umepwaya ni wa vitisho na mabavu.
2. Utawala wake hauzingatii utawala...
Kuna taarifa za awali zinaonyesha kuwa ‘Kachero Mbobezi’ ndugu Bernard Membe ameamua kufanya ‘maamuzi magumu’ na hivyo asubuhi ya leo mida ya saa 4 anatarajiwa ‘kulipuka’ mbele ya Wahariri wa Vyombo vya Habari jijini Dar.
Je, tutarajie yepi toka kwa hili ‘joka la mdimu’?
A) Atafanya kama Dk...
Kuna kila kigezo kwa nchi yetu sio siku nyingi kuwa nchi inayotoa misaada Ulaya. Kila kitu kinaonesha uwezekano huo. Mali asili, watu wenye akili na nguvu ni mifano inayoniamisha.
Sasa nataka tuwe wakweli, ili kufanikisha hili tunahitaji kiongozi anayechekea Ulaya, Marekani na China au...
TUJIKUMBUSHE MAMBO MBALIMBALI KWA MUJIBU WA MIONGOZO YA NEC
Wajibu wa Vyama vya siasa wakati huu wa kampeni ni kunadi sera kwa kuzingatia Sheria za Uchaguzi,Kanuni na Maadili ya Uchaguzi. Kama inavyoelekezwa katika kifungu cha 51 (1) cha Sheria ya Taifa ya Uchaguzi, Sura ya 343 na kifungu cha...
Mgombea Urais wa JMT, Dkt. John Magufuli yupo Kigoma leo Septemba 18, 2020.
Updates zote zitawekwa hapa:
Video: Ngoma ya kinamama wa kabila la Wabembe wa kata ya Kitongani Kigoma mjini wakitumbuiza katika Uwanja wa Lake Tanganyika mkoani humo katika kunogesha mkutano wa kampeni wa JPM leo...
Kampeni za vyama mbalimbali vya siasa zimeendelea kutimua vumbi maeneo mbalimbali ya nchi yetu. Leo naomba nitoe dukuduku langu kwa uchache sana. Kwa mshtuko sana nimesikitika kuona baadhi ya vyama vya upinzani kuanza ubaguzi wa waziwazi kwa kuumia na kuweka nongwa Serikali kupeleka maendeleo na...
MKUTANO WA MGOMBEA URAIS JOHN POMBE MAGUFULI KUTOKEA CHATO, GEITA UKO LIVE
===
MAGUFULI: Ndugu zangu wa Chato na Geita kwa ujumla, mwaka 1995 nilikuja kuomba kura kwa nafasi ya ubunge, mkanipa miaka 5, nikaja tena mwaka 2000, nikaja tena 2005. Katika vipindi vyote vinne nikiwa mbunge...
Turudi nyuma kidogo. Wafanyabiashara wadogowadogo mnakumbuka mateso mliyoyapata tena kwenye ardhi yenu ya nyumbani Tanzania? Bodaboda, machinga na mama n'tilie. Mkabughudhiwa kufanya shughuli zenu kwenye maeneo flanflan ya nchi kama vile nyie sio binadamu na kwamba hamtakiwi. Yani kwenye ardhi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.