Mgombea Uenyekiti BAVICHA Masoud Mambo akifunguka A to Z kilichotokea kwenye Uchaguzi BAVICHA baada ya wakubwa kuingilia kati.
Source: East Africa Radio
My take: Usafi wa Heche na Lissu uko mdomoni tu- ni wachafu kuliko uchafu wenyewe
Amenadika Mdude Nyagali kwenye Mtandao wa X.
Kwa wale wageni ambao hawajui mambo ya uchaguzi ndani ya vyama n.k.
1. Posho za wajumbe hutolewa mapema tu wanapowasili na wahasibu walioteuliwa pamoja na viongozi hadharani kwa kuhakiki majina kisha kusaini.
2. Posho huwa haitolewi uchochoroni...
Kutoka Ubungo Plaza, jijini Dar es Salaam (leo, Jumanne ya Januari 14.2024) vurugu zimeshuhudiwa tena kati ya wanahabari na baadhi ya vijana wa BAVICHA ambao wamepinga wanahabari kuwepo kwenye ukumbi wa uchaguzi, wanahabari waliingia ukumbini hapo baada ya kuruhusiwa na msimamizi wa uchaguzi huo...
Asubuhi ya leo Januari 14, 2025 pameamka na sintofahamu baina ya Daniel Naftali ambaye ni Meneja wa Kampeni(Campaign Manager) wa Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa Freeman Mbowe akizozana na aliyekuwa Mgombea wa Uenyekiti wa Baraza la Vijana wa CHADEMA (BAVICHA)
Taifa Shija Shibeshi
Inaelezwa kuwa...
Taarifa ya BAVICHA iliyo chapiswa kupitia mtandao wa X imeeleza kama ifuatavyo
Si kweli kuwa kuna mazingira ya rushwa (kwenye uchaguzi wa BAVICHA Taifa , Idrissa Kassim alikabidhiwa fedha za nauli kwa wajumbe wa BAVICHA kutoka Kanda ya Magharibi, wakati akiwalipa ndio ilitafsiriwa kuwa anatoa...
Katika hali isiyotarajiwa waandishi wa habari na wadau wengine wanaotajwa kutohusika moja kwa moja na uchaguzi, wameondoshwa kwenye ukumbi wa uchaguzi wa Baraza la Vijana la Chama cha Demokrasia na Maendeleo (BAVICHA) Taifa kutokana na kile kilichoelezwa kuwa kwa sasa wanaostahili kubali ni...
Wakuu wakati mkutano mkuu wa Bavicha ukiendelea leo, mjumbe mmoja aeleza kwa masikitiko kuwa hawajalipwa pesa za kujikimu walizohaidiwa.
"Tuliambiwa jana tutapewa pesa ya kujikimu mpaka leo hatujapewa, mnawezaje mkaipinga rushwa ilhali mnaitengeneza?" - Mjumbe wa mkutano mkuu Bavicha
Kupata...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.