Wajumbe wa mkutano mkuu timu ya Tundu Lissu imetoa watatu (3) kati ya wajumbe watano (5)
Uchaguzi wa makamu mwenyekiti BAWACHA Taifa unaenda duru ya pili baada ya duru ya kwanza kukosa mshindi. Team Tundu Lissu alikuwa anaongoza.
Uchaguzi wa mwenyekiti wa BAWACHA Taifa bado box...
Wakuu
Muktadha: Wakati mchakato wa kuhesabu kura kuwapata viongozi wapya wa Baraza la Wanawake la Chadema (Bawacha) ukiendelea, baadhi ya wanaodaiwa kuwa makada wa chama hicho wanashikiliwa na polisi kwa madai ya kuanzisha vurugu.
Tukio hilo limetokea leo Ijumaa, Januari 17, 2025 wakati kura...
Wakuu
Katika hali isiyokuwa ya kawaida, ugomvi wa ngumi umezuka nje ya Ukumbi wa Ubungo Plaza unapofanyika mkutano wa uchaguzi wa Baraza la Wanawake la Chadema (Bawacha).
Ugomvi huo ulikuwa kati ya wanaodaiwa kuwa wafuasi wa Makamu Mwenyekiti wa Chadema Bara, Tundu Lissu dhidi ya wafuasi wa...
Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe na Makamu Mwenyekiti wa Chadema Bara, Tundu Lissu wakisalimiana katika mkutano mkuu wa Baraza la Wanawake la Chadema (Bawacha) unaofanyika leo Alhamisi Januari 16, 2025 katika ukumbi wa Ubungo Plaza jijini Dar es Salaam.
Wote wawili wanamchuano mkali...
Muda mchache kabla ya kuanza kwa mkutano mkuu wa Baraza la Wanawake la Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Bawacha) wajumbe wa mkutano huo wamepaza sauti ya kuhitaji posho zao kabla ya mchakato huo.
Hali hiyo inajiri muda mchache baada ya Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe kuwasili kwenye...
===
Katika hali isiyo ya kawaida Wanawake wa CHADEMA (BAWACHA ) Taifa wameshindwa kujizuia na kuonesha hisia zao kwa Mgombea wa nafasi ya Uenyekiti wa CHADEMA Taifa Mhe Tundu Lissu alipokuwa akiingia Ukumbini.
Hakika LISSU Will Fix CHADEMA
Anaandika Tundu AM LISSU.
====
" Mjumbe wa Mkutano Mkuu wa BAWACHA kama wewe unataka au mwanamke mwenzako anayefaa nae apate fursa za uongozi bungeni au kwenye udiwani miaka ijayo, nakushauri upige kura ya mabadiliko kwenye Uchaguzi wa BAWACHA kesho na Uchaguzi Mkuu wa chama tarehe 21...
Januari 13 na 16, 2025, mabaraza ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) ya vijana (Bavicha), wazee (Bazecha) na wanawake (Bawacha) yanafanya uchaguzi wa kupata viongozi wake, huku makundi mawili kwenye Uchaguzi ngazi ya Uenyekiti kati ya Freeman Mbowe na Tundu Lissu yakitarajiwa kuibua...
chadema
kuelekea 2025
matokeo uchaguzi bavicha
matokeo uchaguzibawacha
matokeo uchaguzi bazecha
matokeo uchaguzi chadema
matokeo ya uchaguziuchaguzi bavicha
uchaguzibawachauchaguzi bazecha
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.