Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan leo Jumatano anaweka rekodi ya kipekee katika historia ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) kwa wajumbe wa Mkutano mkuu wa 10 kumchagua kuwa Mwenyekiti wa kwanza mwanamke wa chama hicho tawala. Tangu Chama Cha Mapinduzi (CCM) kiasisiwe mwaka 1977, hakijawahi kuongozwa na...
Nimefurahi uchaguzi unaendelea ndani ya CCM ni hatari tupu, wale matajiri waliowekwa kando na Mh Mwendazake, sasa wanarudi Kwa kasi kasi ya 4G.
Ninaikumbuka sana CCM ya kabla ya Magufuli, ilivyokuwa tulip kuwa na macho tunakumbuka wenyeviti wa CCM mikoani walikuwa wafanyabiashara wakubwa sana...