Takriban watu 18 wamefariki dunia katika majibizano ya risasi kati ya kikosi cha walinzi wa Rais wa Chad na kundi la watu waliokuwa wamejihami kwa silaha za moto.
Kundi la watu hao (bado halijatambulika) walikuwa wakirusha risasi kuelekea yalipo makazi ya Rais, Idriss Deby, jijini N’Djamena...