uchaguzi chadema singida

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Pre GE2025 CHADEMA mkoa wa Singida yamchagua Omary Toto kuwa Mwenyekiti Mpya. Katibu Mpya aliyechaguliwa aagizwa kuanza kazi mara moja!

    Wakuu, Wakati sarakasi za Uchaguzi wa Serikali za Mitaa zikeindelea kushika kasi, CHADEMA nao wameendelea kukisuka chama chao. Hivi Karibuni Omary Toto amechaguliwa kuwa Mwenyekiti mpya wa CHADEMA mkoa wa Singida, akipata kura 52, sawa na asilimia 59.8% ya kura 87 zilizopigwa. Soma pia...
  2. Pre GE2025 Kukosekana kwa misingi ya Demokrasia ndani ya CHADEMA, Jimbo la Singida Mashariki wavutana mashati uchaguzi wa viongozi

    Jimbo la Singida Mashariki CHADEMA lashindwa kufanya uchaguzi kutokana na kushindwa kutumia misingi ya Demokrasia. Uchaguzi huo ulipangwa kufanyika leo, kutokana na vurugu zilizojitokeza wameshindwa kuendelea. Chadema inashindwa kuwatendea haki wanachama wake, Je itaweza kuwatendea haki...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…