uchaguzi huru na haki

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Gabeji

    Pre GE2025 CHADEMA mwombeni Rais Donald Trump ku-push hoja yenu ya uchaguzi huru na haki

    Marekani ndio nchi iliyoanzisha democrasia katika mfumo wa vyama vingi. Marekani kupitia IMF , WORLD BANK, wameineza sera ya democrasia, katika nchi masikini kuanzia miaka ya 1980s. Nguvu ya uma ni muhimu sana katika kuleta mabadiliko ya kweli ndani ya Tanzania. Lakini kulingana na asili yetu...
  2. The Watchman

    Pre GE2025 Tukemee kauli ya Ally Hapi, kuvitaka vyombo vya dola kushughulikia wapigania mabadiliko ya kikatiba ni tishio kwa demokrasia na uchaguzi huru na haki

    Salaam Kauli ya Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Wazazi ya Chama cha Mapinduzi (CCM), Ally Hapi, inayoitaka vyombo vya dola kuwachukulia hatua watu wanaodaiwa kutaka kuzuia uchaguzi mkuu ni ya kutia wasiwasi katika muktadha wa demokrasia na haki za raia. Tamko hili linaibua maswali kuhusu uhuru wa...
  3. Mkalukungone mwamba

    Pre GE2025 ACT Wazalendo yajipanga kushirikiana na Vyama vingine na Taasisi kupigania Uchaguzi Huru na Haki

    Chama cha ACT Wazalendo kimesema kipo tayari kuunganisha nguvu na vyama vingine vya siasa pamoja na taasisi mbalimbali ili kuhakikisha vinapambania uwepo wa uchaguzi huru na haki mwaka huu. Akizungumza leo Februari 23 kwenye Kikao cha Halmashauri Kuu ya chama hicho Kiongozi wa ACT Wazalendo...
  4. Mindyou

    Pre GE2025 Mwenyekiti wa Tume Huru ya Uchaguzi: Ukijiandikisha mara 2 ili kupiga kura, adhabu ni jela kuanzia miezi 6

    Wanabodi, Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Jaji Jacobs Mwambegele, amesisitiza kuwa kujiandikisha zaidi ya mara moja ni kosa la jinai lenye adhabu ya kifungo cha angalau miezi sita, kisichozidi miaka miwili, au vyote kwa pamoja. Ameyasema haya wakati wa mkutano na wadau wa...
  5. Waufukweni

    Pre GE2025 Godbless Lema: Uchaguzi 'huru na haki', umeongeza heshima kwa Mbowe

    Godbless Lema, Mjumbe Kamati Kuu CHADEMA. "Kwa sababu mara ya kwanza nilipoona misuguano imekuwa mikali sana nilikuwa natuma nilituma watu wajaribu kumwambia Mhe. Mwenyekiti (Freeman Mbowe) ajitoe. Nikihofia kwamba akianguka labda itashuka kidogo. Lakini alipoamua kuweka uchaguzi kwa kiwango...
  6. Mindyou

    Pre GE2025 Tume ya Taifa ya Uchaguzi yatangaza kuanza kuandikisha wananchi kwenye daftari mkoani Songwe, Njombe, Rukwa na Ruvuma kuanzia Januari 12

    Wanabodi, Baada ya zoezi la uboreshaji wa daftari la kudumu la mpiga kura kufanyika Dodoma na viunga vyake sasa zoezi limehamia mikoa mingine ==================================================== Kupitia ukurasa wa Instagram wa INEC, tume hiyo ya Uchaguzi imetangaza kuwa uboreshaji wa daftari...
  7. Mindyou

    Askofu Mwamakula: Hata sisi tunaowatetea CHADEMA tukigundua kuwa kuna ufinyaji wa haki mle ndani hatutawatetea tena

    Wakuu, Akiwa anazungumza hivi karibuni kwenye mazungumzo yake ya moja kwa moja na Jambo TV, Askofu Mwamakula amezungumzia mchakato wa Uchaguzi unaoendelea kwa sasa ndani ya CHADEMA Askofu Mwamakula amesema kuwa hata wao ambao hujitokeza pale ambapo CHADEMA wanateswa, wakiona kuwa kuwa...
  8. Chachu Ombara

    Pre GE2025 Waziri Lukuvi atembea ofisi za ACT Wazalendo; Asema chaguzi zitakazofanyika wakati wa utawala wa Rais Samia zitakuwa zenye heshima, huru na haki

    Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera Bunge na Uratibu Ndg. William Lukuvi akiwa ameambatana na Msajili wa Vyama vya Siasa Jaji Francis Mtungi leo 07/10/2024 ametembelea Ofisi za Makao Makuu ya ACT Wazalendo na kupokelewa na Kiongozi wa Chama Ndg. dorothy Semu aliyeambatana na Katibu Mkuu...
  9. I

    Pre GE2025 Mambo haya yanapaswa kufanyika ili uchaguzi uwe huru na haki

    Kuelekea uchaguzi wa serikali za mitaa wa 2024, kuna mambo kadhaa muhimu ya kuzingatia ili kuhakikisha uchaguzi unakuwa wa haki: 1. Elimu ya Mpigakura: Wananchi wanapaswa kupewa elimu ya kutosha kuhusu haki zao za kupiga kura, mchakato wa uchaguzi, na umuhimu wa kushiriki kwenye uchaguzi. Hii...
  10. Pascal Mayalla

    Pre GE2025 Baada ya Mtu Kusema Ukweli Kuhusu Uchaguzi Kuendeshwa kwa Mutatis Mutandis, Tunaomba Uchaguzi Mkuu wa 2025 Uendeshwe kwa Ceteris Peribus!

    Wanabodi, Saa hizi ni usiku mkubwa, usingizi umejigomea, hivyo nimeshuka jf. Baada ya mwana CCM mwandamizi, ambaye ni born and breed CCM, kusema ukweli kuhusu ushindi wa uchaguzi kwenye baadhi ya maeneo, uchaguzi huendeshwa kwa mtindo wa Mutatis Mutandis!. Hivyo kwa heshima na taadhima...
  11. T

    Kauli ya Nape imenisononesha hata kama ni utani

    Mimi ni mwanachama wa chama cha Mapinduzi CCM kindakindaki lakini ninaamini katika demokrasia, uchaguzi huru na wa haki katika kuijenga nchi na umoja wa kitaifa. Nimesikitishwa na kauli ya Waziri Nape kuwa matokeo yana tegemea anayehesabu na kutangaza matokeo ya kupiga kura na uchaguzi na siyo...
  12. Roving Journalist

    LGE2024 RC Chalamila: Uchaguzi wa Serikali za Mitaa Utafanyika katika Mitaa yote 564 ya Dar kwa Uhuru na Haki

    "Rais Samia Suluhu Hassan ni mwana demokrasia wa kwanza katika Nchi yetu, kwahiyo ni wito wake kuwaomba watanzania na wana Dar es Salaam wote kuhakikisha Tunashiriki kwa kiasi cha kutosha ili tuweze kichagua Viongozi tunaowataka, na mwisho tuepuke malalamiko kwa kuchagua au kwa kutohusika...
Back
Top Bottom