Rais wa Poland kamkaripia vikali na kumchamba kinagaubaga Rais wa kamisheni ya Umoja wa Ulaya (EU) Bi Ursula juu ya kiburi, dharau, na kejeli zake kwa misingi ya demokrasia kufuatia kutoa komenti ya kipumbavu wiki iliyopita kukosoa matokeo ya uchaguzi wa kidemokrasia uliofanywa na taifa la Italy...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.