Tume ya Uchaguzi Huru na Mipaka (IEBC) imemtangaza aliyekuwa Naibu Rais, William Ruto (55) kuwa Rais Mteule wa Awamu ya Tano kwa tiketi ya Chama cha UDA kufuatia Uchaguzi Mkuu uliofanyika Agosti 9, 2022
Tume imesema Ruto amepata Kura 7,176,141 sawa na asilimia 50.49 huku akifuatiwa na Raila...
Safari yangu ya kukaa hapa Kenya inahitimishwa leo rasmi, kesho narejea Tanzania.
Wagombea wote wakubwa ndani ya Kenya wana tuhuma za ufisadi kwa Raila na Ruto. Hivyo ajenda ya ufisadi haikuwa ishu kubwa sana kwa wakenya walio wengi, bali ajenda kubwa ya wakenya wengi kwenye uchaguzi huu...
12 Agosti 2022
Vyombo vya kimataifa vilivyoalikwa na IEBC kuwa waangalizi wa mchakato mzima wa uchaguzi Kenya 2022, vimetoa pongezi kwa jinsi mchakato mzima kuwa kuelekea uchaguzi na zoezi la upigaji kura, utangazaji matokeo pia vyombo vya ulinzi na usalama kutekeleza wajibu wao bila...
Kwenye Uchaguzi unaoendelea Nchini Kenya kuna jambo la kujifunza, kila mwenye haki ya kugombea na aliyetimiza vigezo ameachwa agombee , ashinde ama ashindwe mwenyewe.
Mpaka sasa sijasikia mgombea yeyote aliyepita bila kupingwa, wala sijasikia Wagombea waliotekwa , kupigwa ama kuporwa fomu, wala...
Magombea Urais nchini Kenya, Raila Odinga ametoa video ya wimbo alioshirikishwa, wakati kampeni za uchaguzi nchini humo zikishika kasi.
Odinga ambaye ndiye mpinzani mkuu kwenye uchaguzi huo ametoa video hiyo ya wimbo unaokwenda kwa jina la Leo ni Leo (Remix).
Naibu wa Rais #Kenya Dr. William Ruto amezua hisia mseto miongoni mwa wananchi baada ya kusema hatamani kudumu kwenye urais kwa kipindi cha miaka 10.
Hayo aliyasema wakati akinadi sera zake za 'Hustler Nation' yaani taifa la wapambanaji katika kaunti ya Nyeri.
"Sina haja na miaka 10 ya urais...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.