Ndugu zangu Watanzania,
Maneno haya yanaweza kuwa na maumivu makubwa sana kwa upinzani wa Nchi hii na kuonyesha pengine kuwakatisha Tamaa. Lakini huo ndio ukweli wenyewe na ndio uhalisia wenyewe wa Mambo .
Kwamba mpaka sasa Rais Na makamu wa Rais watakao Ongoza Taifa letu kwa kipindi cha Miaka...