Hapo Jana, Trump ameapishwa kama raisi wa 47 wa U.S, moja ya hatua alizochukua ni kuitaka U. S kujiondoa haraka Sana WHO.
Hakuna asiejua kuwa America inamchango mkubwa Sana kwenye budget ya shirika hili, na wote tunakubaliana kuwa who ina umuhimu Sana katika Ku pambana na Changamoto za Afya...
Electors kutoka majimbo yote hupeleka matokeo yao kwa Rais wa bunge la Senate. Na Rais huyu ni Makamu wa Rais wa Marekani.
Kama mnakumbuka January 6, 2021. Waandamaji walikuwa wanapiga kelele anyongwe Mike Pence! Huyu alikuwa Makamu wa Rais wa Rais Donald Trump na alikataa kufanya figisu...
Wakuu,
Pengine kuna kitu ntakuwa sielewi kuhusu Marekani lakini inaonekana suala la bangi kuwa halali ni suala nyeti sana huko Marekani na hii ni baada ya Harris kusema kuwa atahalalisha matumizi ya bangi nchi nzima pindi akiwa Rais.
Hivi how is this a campaign issue? Na kwanini utake...
Wakuu,
Kuna hii clip ya Kamala Harris inatembea sana huko kwenye mtandao wa X na Republicans wanaishare kwenye akaunti zao.
Jana Harris alikuwa anafanya Town Hall. Town Hall ni kipindi cha maswali na majibu ambapo wananchi wanapata nafasi ya kumuuliza maswali mgombea au kiongozi wao maswali...
Rais wa zamani wa Marekani, Donald Trump amekutana na Rais wa Ukraine, Volodymyr Zelenskyy katika jengo la Trump Tower huko New York mapema Ijumaa wiki hii na amemuahidi kumaliza haraka vita kati ya Urusi na Ukraine ikiwa atashinda kiti cha Urais wa Marekani.
“Tuna uhusiano mzuri sana na pia...
Mbio za kampeni za uchaguzi nchini Marekani zimeendelea kuwa sukari na hii ni baada ya maafisa takriban 700 wa usalama wa kitaifa na wanajeshi nchini humo kumuidhinisha na kumuunga mkono Kamala Harris kwenye mbio zake za Urais dhidi ya Donald Trump.
Kupitia barua yao ya pamoja, maafisa hao wa...
dhidi
donald trump
kamala
kamala harris
maafisa
maafisa usalama
marekani
mkono
mkuu
trump
trump vs kamala
uchaguziuchaguzimarekani2024uchaguzi mkuu
usalama
Ofisi ya kampeni ya mgombea urais wa Marekani, Kamala Harris, huko kwenye mji wa Phoenix ilishambuliwa kwa risasi na kusababisha uharibifu kwa majengo na madirisha huku hakuna majeruhi walioripotiwa.
Tukio hilo lilitokea usiku wa manane, siku chache kabla ya ziara ya Harris jimboni humo, na...
Habari zenu wanabodi,
Kwa namna siasa za marekani zinaendelea ni dhahiri shahiri kuwa Trump ana mengi sana ya kupoteza iwapo atashindwa kuingia pale White House mwaka kesho.
Siku ya Ijumaa, Jaji kutoka jimbo la New York alitangaza kuahirisha kutoa hukumu kwa Donald Trump.
Jaji Merchant...
Kuna uzushi mwingi wa vijiweni kwamba raisi wa MAREKANI anapatikana na deep state na kwamba kuna kikundi kidogo cha watu sirini wanamteua raisi. Hii sio kweli.
Raisi wa MAREKANI anapatikana kwa kura za Wananchi. Ndiyo maana wagombea wanafanya campaign ili wapigiwe kura
Utofauti na huku kwetu ni...
Uwanja wa siasa nchini Marekani umezidi kuchangamka na hii ni baada ya mgombea wa chama cha Republican, Donald Trump, hivi karibuni kusema kuwa hata kama humpendi yeye kama yeye ni muhimu sana kumpigia kura.
Trump aliyasema hayo kwenye jimbo la Pennsylvania huko nchini Marekani akiwa kwenye...
Mgombea Urais wa Marekani Donald Trump amesema siku ya Jumatano kwamba Makamu wa Rais Kamala Harris ameamua "kugeuka mtu mweusi" kwa manufaa ya kisiasa katika kile kilichoonekana kama kumshambulia mpinzani wake huyo kutoka Chama cha Democratic
Wakati akizungumza na waandishi wa habari wa...
Kwenye kundi la Wagombea 5 wanaopewa nafasi ya mmjawao kuwa mgombea Mwanza wa Bi. Harris Kamala kwenye uchaguzi ujao yupo Bwana Pete ambae ni Waziri wa Uchukuzi.
Bwana huyo anaelezwa kuwa ni mahiri na stadi wa kujieleza ambae anaweza msaidia Harris kumshinda Trump.
--
Kamala Harris ataanza...
Live Updates ya majibu ya kura kati ya Trump na Kamala
Rasmi Fox News yatangaza kuwa Donald Trump ameshinda Urais wa Marekani dhidi ya Kamala Harris
Kulingana na kituo cha habari NBC, Donald Trump ameshinda jimbo la Pennyslavania, jimbo ambalo kwenye chaguzi nyingi huamua nani atakuwa Rais...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.