Habari ndugu zangu,
Hivi kulikuwa na haja gani Sasa ya kuwaandikisha wananchi Kwenye daftari la kupiga kura?
Maana huku Nsalaga mtaa wa Ntundu watu wanaingia Kwenye chumba Cha kupigia kura bila kukaguliwa majina Yao Kwenye daftari.
Kwa maana hiyo hata yule ambaye hakujiandikisha anaweza kupiga...