uchaguzi mdogo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. N

    Jimbo la kigamboni halina uwakilishi tangu Dr.Ndugulile afariki

    Tangu Dr. NDUGULILE afariki ni miezi sasa, kigamboni haina mbunge wala hakuna uchaguzi mdogo, tatizo nini? Soma Pia: Dkt. Faustine Ndugulile, aliyekuwa Mbunge wa Kigamboni afariki Dunia Tume imesahau au wanasiasa wamesahau, au muda hauruhusu?
  2. K

    Pre GE2025 Vijana wasichague viongozi kwa mihemko ya kivyama au chuki, bali kwa uwajibikaji na sera bora zinazotimizika

    Kumekuwa na mashindano mengi ya mpira hasa mpira wa miguu kwenye majimbo na kata mbali mbali nchini. Kwa jicho la kawaida ni jambo zuri lakini kama ukijiuliza ni kwanini ije kipindi hichi na sio miaka miwili au tatu iliyopita tena ikija na ahadi nyingi na fedha nyingi basi utagundua ni siasa...
  3. DR Mambo Jambo

    ACT Wazalendo wakamata Kura Feki uchaguzi Mdogo Kata ya Kasingirima Kigoma zikiwa zimepigwa kwa Mgombea wa CCM

    Kwenye Official Account yao ya X (Zamani twitter) ACT Wazalendo wamethibitisha kukamata kura hizo, na Kusema bado wanaendelea kuchukua Hatua stahiki ikiwa wao ni Moja ya vyama Shiriki kwenye Uchaguzi huo.. "Kura fake zimekamatwa zikiwa zinaingizwa kwenye vituo vya kupigia kura Katika Kata ya...
  4. Matulanya Mputa

    Mtwara: Msimamizi wa Uchaguzi mdogo kata ya Chipuputa akamatwa na kura feki, Polisi wamlinda

    Msimamizi wa uchaguzi mdogo kata ya chipuputa jimbo la Nanyumbu amekamatwa akiwa na kura feki Lakini jeshi la polisi limemlinda, na pia baada ya katibu wa ACT-WAZALENDO mkoa wa Mtwara kuhoji tukio hilo amekamatwa na jeshi la polisi kwa maagizo ya OCD wilaya. Demokrasia iko wapi au tume huru iko...
  5. Ojuolegbha

    UWT watoa kila la heri katika uchaguzi mdogo wa Madiwani

    Umoja wa Wanawake wa Tanzania (UWT) chini ya Mwenyekiti wake Ndg. Mary Pius Chatanda unapenda kuwatakia Uchaguzi mwema Wagombea wote wa nafasi za Udiwani wanaotokana na Chama Cha Mapinduzi kwa kuwatakia Ushindi wa Kishindo.
  6. B

    CCM Waangukia pua uchaguzi mdogo jimbo la Mtambwe Pemba, na kukubali ushindi ACT Wazalendo

    28 October 2023 Pemba, Zanzibar MATOKEO YA UCHAGUZI MDOGO JIMBO LA MTAMBWE PEMBA, ACT-WAZALENDO WAIBUKA KIDEDEA Picha: Dr. Mohamed Ali Suleiman wa ACT-Wazalendo akizungumza wakati wa kampeni. Msimamizi wa uchaguzi jimbo la Mtambwe Pemba Zanzibar , leo tarehe 28 oktoba 2023 amtangaza Dr...
  7. J

    Uchaguzi Mdogo Mbarali: Bahati Ndingo ashinda Kiti cha Ubunge

    #CCM BABA LAO, Matokeo ya uchaguzi mdogo wa kiti cha ubunge Jimbo la Mbarali mkoani Mbeya yametangazwa, Mgombea ubunge kupitia CCM Bi. Bahati Ndingo ameibuka mshindi kwa kura elfu 44,334 dhidi ya mpinzani wake wa karibu kutoka chama cha ACT Wazalendo Bw. Dickson Kilufi, aliyepata kura...
  8. Roving Journalist

    Polisi Mbeya: Ulinzi waimarishwa kuelekea uchaguzi mdogo wa Ubunge Mbarali

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya limejipanga vyema kuimarisha ulinzi na usalama kuelekea uchaguzi mdogo wa ubunge katika jimbo la Mbarali. Akizungumza na vyombo vya habari leo Septemba 18, 2023 Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mbeya Kamishna Msaidizi wa Polisi Benjamin Kuzaga amesema, "Vikosi vyote vya...
  9. fullcup

    Nafasi za muda za kusimamia uchaguzi mdogo Mbarali

    Msimamizi wa uchaguzi Jimbo la Mbarali ametangaza zaidi ya nafasi 1200 za kusimamia uchaguzi mdogo utakao fanyika tarehe 19/ 09/ 2023. Chonde chonde wapinzani msisusie uchaguzi vijana tupate posho.
  10. jingalao

    Uchaguzi mdogo umeshatangazwa CHADEMA msikimbie

    Nimeshamsikia mkurugenzi wa tume ya uchaguzi ndugu Kailima akitangaza uchaguzi mdogo wa mbunge na madiwani. Chadema msijidai hamshiriki njooni uwanjani tutest mitambo.
  11. Roving Journalist

    Uchaguzi Mdogo wa Kata 14 Tanzania Bara

    Tume ya taifa ya uchaguzi (nec) imetangaza uchaguzi mdogo wa madiwani katika kata 14 tanzania bara utakazofanyika julai 13, mwaka huu. Kuwepo kwa uchaguzi huo kumetangazwa leo juni 14, 2023 jijini dodoma na mkurugenzi wa nec, ramadhani kailima ambaye ameeleza kuwa unafanyika baada ya kupokea...
  12. Melubo Letema

    Ikangaa, Kiganja na Nyambui Wajitosa kwenye Uchaguzi Mdogo RT

    Shirikisho la Riadha Tanzania (RT) inatarajiwa kufanya uchaguzi Novemba 27 mwaka huu jijini Dodoma, nafasi zinazowaniwa ni Makamu wa Rais na Mjumbe wa Kamati Tendaji Kanda ya Pwani, ambazo waliokuwa wakizishikilia, John Bayo na Robert Kalyahe, walijiuzulu kutokana na sababu mbalimbali. Zoezi la...
  13. Analogia Malenga

    CHADEMA yathibitisha kutoshiriki uchaguzi mdogo Ngorongoro, hadi Tume Huru ya Uchaguzi itakapopatikana

    Taarifa kwa Umma Katibu Mkuu John Mnyika ameiandikia barua Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) kuitaarifu rasmi kuwa Chadema hakitashiriki uchaguzi wa marudio wa ubunge kwenye Jimbo la Ngorongoro na kata saba na badala yake amesisitiza kutaka iundwe Tume Huru ya Uchaguzi itakayohakikisha chaguzi...
  14. EINSTEIN112

    Vigogo wabwagwa kura za maoni ubunge CCM jimbo la Ngorongoro

    Wajumbe wa Mkutano Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Jimbo la Ngorongoro, wamewadondosha wagombea wasomi na vigogo waliokuwa wanapewa nafasi kumrithi aliyekuwa Mbunge wa Jimbo hilo, William Tate Ole Nasha aliyefariki Septemba 27, 2021. Katika matokeo ya kura za maoni yaliyoshirikisha wagombea...
  15. Miss Zomboko

    Uchaguzi wa Ubunge Ngorongoro kufanyika Desemba 11

    TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imetangaza uchaguzi mdogo wa Jimbo la Ngorongoro mkoani Arusha utakaofanyika Desemba 11 mwaka huu. Siku hiyo pia utafanyika uchaguzi mdogo wa diwani wa kata ya Naumbu, Halmashauri ya Wilaya ya Mtwara, mkoani Mtwara. Hatua hiyo imetokana na Tume kupokea barua ya...
  16. K

    Uchaguzi Mdogo Ushetu. Waliopiga kura 106,000+. Ambao hawakupiga kura ni wangapi?

    Lipo tatizo la tume ya uchaguzi kuacha kuendesha uchaguzi na kubaki na taarifa za copy and paste kwa kiwango Cha data wanachoamua wao. Huko Ushetu CCM na ACT pekee wamepigiwa kura zaidi ya laki moja na elfu sita. Kwa tuliokuwa tunafuatilia kampeni na baadaye siku ya kupiga kura lazima tujiulize...
  17. R

    Uonevu wa NEC ni bomu linalosubiri kulipuka; Wagombea 10 Upinzani Shinyanga waenguliwa kuwania Udiwani kwa kukosa sifa

    Ipo siku Tanzania italipuka kupitia hujuma za uchaguzi! Ipo siku yaliyomkuta Nikolae ceacescu wa Romania tarehe 25 December, 1989 tutayaona Tanzania Ipo siku Watanzania wataigeuka CCM na wana CCM wataukimbia utambulisho wao kwa sababu ya kuitumia tume kuchezea demokrasia; --- NIPASHE...
  18. Singo Batan

    NEC yawafanyia semina wasimamizi wa chaguzi ndogo zinazotarajiwa kufanyika nchini

    Wasimamizi wa uchaguzi mdogo wa Jimbo la Konde wametakiwa kufanya kazi kwa weledi kwa kuzingatia sheria, kanuni na maelekezo ya Tume na hivyo kuepuka kufanya kazi kwa mazoea. Akifungua mafunzo kwa wasimamizi na wasimamizi wasaidizi wa uchaguzi huo leo tarehe 08 Septemba, 2021, Kisiwani Pemba...
  19. S

    Kwa matamshi haya kuhusiana na uchaguzi mdogo huko Zanzibar, Makamu wa Raisi Zanzibar kutoka ACT-Wazalenido kujiuzulu wakati wowote?

    Haya kumekucha huko Zanzibar
  20. S

    ACT- Wazalendo, matokeo ya uchaguzi mdogo Jimbo la Konde ni ya kupika

    Hii inaitwa: mtoto akililia wembe, mpe.
Back
Top Bottom