Mkoa wa Mjini Magharibi ni moja kati ya mikoa 31 ya Tanzania na unapatikana ndani ya Kisiwa cha Unguja. Mkoa huu una wilaya tatu ambazo ni Mjini, Unguja Magharibi A na Unguja Magharibi B.
Mkoa huu una wakazi takriban 893,169 kulingana na sensa ya mwaka 2022. Jimbo la Pangawe linaongoza kwa...