Sioni media za kibongo zikiripoti kiviile yaani unaweza kudhani hakuna uchaguzi mkuu kwa hawa jamaa zetu.
Pia soma
- Uchaguzi Mkuu Afrika Kusini: Upigaji Kura umeanza leo, 32% ya Wananchi hawana Ajira
UPDATE:
Kati ya Takriban watu Milioni 27.79 waliojiandikisha kushiriki Uchaguzi Mkuu leo Mei 29, 2024 zaidi ya 17,000 ni Wafungwa ambao wamesajiliwa kutoka katika Magereza 240 Nchini humo
Kura zinaendelea kupigwa katika Gereza la Kgosi Mampuru, Pretoria, lenye wapiga kura waliosajiliwa 2,908...