uchaguzi mkuu

The Tanzanian general election of 2015 was the 5th quinquennial election to be held since the restoration of the multi-party system in 1992. Voters elected the president, members of Parliament, and local government councillors. By convention, the election was held on the last Sunday of October and was supervised by the National Electoral Commission (NEC). Political campaigns commenced on 22 August and ceased a day before the polling day.The incumbent president, Jakaya Kikwete, was ineligible to be elected to a third term because of term limits. Chama Cha Mapinduzi (CCM), the country's dominant ruling party, selected Works Minister John Magufuli as its presidential nominee instead of the front-runner, former Prime Minister Edward Lowassa. After failing to secure the CCM's nomination, Lowassa defected to the opposition Chadema party despite it once labelling him as "one of the most corrupt figures in Tanzanian society". This year's election was seen as the most competitive and unpredictable in the nation's history.The government had warned politicians to refrain from engaging in witchcraft, and a deputy minister told parliament that reports linking politicians with the killings of people with albinism could be true as it increases during the election period. A ban on witch doctors was imposed in January 2015, as some of them condone the killings due to superstitious beliefs that the victims' bodies "possess powers that bring luck and prosperity".On 29 October, CCM's Magufuli was declared the winner ahead of Chadema's Lowassa, who has yet to concede amid a dispute.

View More On Wikipedia.org
  1. Dkt. Tulia alilipia Tiketi 1000, mechi ya Mbeya City FC dhidi ya African Sports!

    Mbunge wa Mbeya Mjini, Dkt. Tulia Ackson, ameonyesha ukarimu kwa kuwalipia mashabiki wa Klabu ya Mbeya City tiketi 1000, ili kuipa nguvu katika mechi dhidi ya African Sports. Mchezo huo wa Ligi ya Championship ya NBC ulipigwa kwenye Uwanja wa Sokoine, Jumatatu, Februari 17, 2025, kuanzia saa...
  2. T

    Pre GE2025 Lissu ahoji Rais anapata wapi pesa za kugawa kwa viongozi wa dini? kwa mshahara gani?

    Wakati akifanya mahojiano na ITV, Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Tundu Lissu amehoji ni wapi Rais anatoa fedha za kuwapa viongozi wa dini? kwa mshahara upi? Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila mkoa ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa...
  3. T

    Pre GE2025 Lissu amesema kuwa yeyote mwenye macho ya kuona anajua kuwa chaguzi za nchi hii zimekuwa za ovyo

    "Yeyote mwenye akili na macho ya kuona anajua kuwa chaguzi za nchi hii zimekuwa za hovyo sana na ni za hovyo kwa sababu mfumo mzima wa kiutawala wa nchi hii ni mfumo wa hovyo" - Tundu lissu, Mwenyekiti CHADEMA. Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila mkoa ingia...
  4. Pre GE2025 Katibu NEC, Mbeto: Pemba si mateka kwa Upinzani, Wanachama 2500 wa ACT wajiunga CCM

    Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimevunja mwiko wa kisiasa kudhani Pemba ni mateka wa upinzani na kwamba wanaweza kufanya watakavyo kwa kuendesha siasa za kufikirika. Katibu wa Kamati Maalum ya NEC Idara ya Itikadi, Uenezi na Mafunzo, Khamis Mbeto Khamis, ameeleza hayo kufuatia wanachama zaidi ya...
  5. T

    Pre GE2025 Mjumbe UVCCM Geita, Sagayika awataka Vijana kuacha kubeba mabegi ya wagombea

    Hao vijana wenyewe wanaopewa ushauri huu ndiyo kwanza wako busy na uchawa === Ikiwa imebaki miezi minane kuelekea uchaguzi mkuu wa mwaka 2025, vijana wametakiwa kuacha tabia ya upambe na kubeba mabegi ya wagombea badala yake wagombee nafasi mbalimbali. Msingi wa hoja hiyo iliyotolewa leo...
  6. Pre GE2025 Askofu Bagonza: Wizi na ulaghai kwenye uchaguzi utabomoa jina na heshima ya nchi

    Tunaikaribia Nigeria. Mambo haya yanaathiri utambulisho wa taifa letu. Baadhi yetu tumefaidi matunda ya jina zuri la taifa letu ndani na nje ya mipaka. Jina hilo lilijengwa kwa gharama kubwa na waasisi wa taifa letu. Popote ulipojitambulisha ni Mtanzania, watu waliinama kwa heshima kubwa...
  7. Pre GE2025 Askofu Bagonza: Madai ya mabadiliko ya mfumo wa uchaguzi yasimilikiwe na chama chochote

    "Si dalili njema kuona vijana wengi wameanza kushabikia uongozi wa kibabe (Trump na Traore) huku wakibeza demokrasia. Na wengine wengi wanamkumbuka JPM na kutamani arudi. JPM alikuwa na mazuri yake lakini si katika eneo hili la demokrasia na utawala bora. Tushtuke na Tuamke. Madai ya mabadiliko...
  8. Pre GE2025 Wanu H. Ameir atoa zawadi kwa Wanafunzi waliopata Division One

    Taasisi ya Mwanamke Initiatives Foundation (MIF) chini Mwenyekiti wake, Mhe. Wanu Hafidh Ameir (Mb) tarehe 16 Februari, 2025 iliandaa Mahafali ya Tatu (3) ya kuwapongeza Wanafunzi waliofaulu kidato cha Nne (4) wa Skuli ya Hasnuu Makame ambao walipata Division 1 kwa wanafunzi 51 na Division 2 kwa...
  9. Pre GE2025 PM Majaliwa: Rais Samia ni Tiba ya Maendeleo, hakuna mbadala

    My Take Nakubalina na PM πŸ’― πŸ’― Kwenye suala la Maendeleo Samia hana mshindani Kila mtu anaona huko aliko πŸ‘‡πŸ‘‡ --- RAIS DKT. SAMIA NI TIBA YA MAENDELEO – MAJALIWA β–ͺ️ Waziri Mkuu asema Rais Dkt. Samia amedhamiria kutekeleza na kukamilisha miradi yote ya kimkakati. β–ͺ️ Aeleza kuwa Rais Dkt. Samia ni...
  10. Pre GE2025 Mdude Nyagali: Lissu alipona ili atusaidie kupata Katiba mpya

    Mwaharakati wa Haki za Binadamu na Utawala Bora, Mdude Nyagali amemwambia Mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Lissu kama asingekuea mpigania haki basi asingeweza kumuunga mkono. Mdude ameyasema hayo Februari 16, aliposhiriki ibada ya misa maalum ya kumuombea Lissu iliyofanyika kijijini kwao Mahambe...
  11. Pre GE2025 Mjumbe Kamati Kuu CHADEMA, Mayemba: Viongozi wa Dini kemeeni dhambi zote ikiwemo Ufisadi

    Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Rose Mayemba ametoa wito kwa viongozi wa dini nchini kutokuwa waoga na kukemea dhambi zote ikiwemo ufisadi bila kujali imefanywa nani. Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila mkoa ingia hapa...
  12. Pre GE2025 Ajenda ya Nishati Safi na Mitungi ya Gasi: Changamoto na Matarajio kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

    Utangulizi Katika muktadha wa maendeleo ya nishati safi, kuna haja ya kuangazia jinsi mitungi midogo ya gesi inavyotolewa kama sehemu ya ajenda hii. Ingawa nia inaweza kuwa ya kutoa suluhu kwa changamoto za nishati, kuna masuala kadhaa yanayojitokeza ambayo yanaweza kuathiri hatima ya ajenda...
  13. Pre GE2025 Nini kilichosababisha Tundu Lissu kukwepa mdahalo wa kisiasa na mzee Wassira kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Oktoba?

    Kwamba pamoja na uzee wake, Lakini kumbe makamu mwenyekiti wa CCM bara, mzee Stephen Wasira ni vibrant, powerful na influencial politician, kiasi kwamba mtu anaejiita msomi, mwenye mdomo na makelele mengi kula kona na kukacha fursa hiyo muhimu ya kujipambanua kwa umma? Ndugu mdau, Tundu Lisu...
  14. Pre GE2025 Mwana FA asema Gambo ana kila sababu za kuendelea kuwa Mbunge wa Arusha

    Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mhe. Hamis Mwinjuma, ameagiza wataalamu wa wizara yake kufanya tathmini ya ujenzi wa uwanja wa mazoezi kwa ajili ya AFCON 2027 katika eneo la FFU, Morombo, Arusha. Ametoa maagizo hayo leo, Februari 15, 2025, wakati wa uzinduzi wa michuano ya...
  15. Pre GE2025 Tundu Lissu: Tubadilishe tarehe ya Uchaguzi Mkuu kwa Miaka miwili ili tuwe na tume Huru

    Tundu Lissu: Tubadilishe tarehe ya Uchaguzi Mkuu kwa Miaka miwili ili tuwe na tume Huru. Waati akihutubia Maelfu ya Watu huko Mkoani Singida hii leo, amesema Uchaguzi uahirishwe. Amesema kuliko kufanya Uchaguzi katika mazingira haya ya sasa, Bora tarehe ya Uchaguzi isogezwe mbele kwani tarehe...
  16. Pre GE2025 Mjumbe UVCCM Taifa: Vijana tuna jukumu la kutafuta kura za Dkt. Samia

    Mjumbe wa Baraza Kuu la UVCCM Taifa (Viti Vitatu bara) Ndg. Shamira Mshangama amepokelewa katika Wilaya ya Musoma mjini, ikiwa ni mwendelezo wa ziara yake ya kuimarisha uhai wa Jumuiya ya Vijana wa CCM katika mikoa, Wilaya, kata, matawi na shina kuelekea uchaguzi mkuu mwaka huu 2025. Ndg...
  17. Pre GE2025 Dkt. Mwinyi awahimiza WanaCCM na wananchi wengine wote kutokuacha kupiga kura siku ya uchaguzi mkuu

    "Napenda nichukue fursa hii kutoa wito kwa ndugu zetu nyote mliopo hapa, wananchi wote, wanaCCM, wapenzi, wakereketwa kuna jambo moja bado hatujalifanya vizuri nalo ni kujitokeza kwenda kuga kura siku yenyewe ya uchaguzi, tumefanya uandikishaji haitoshi sasa tuna kazi ya kwenda kuwatoa watu...
  18. Tundu Lissu kuhutubia wananchi Morogoro leo, akielekea Ikungi

    Maandalizi yamekamilika kwa ajili ya kumpokea Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Taifa, Tundu Lissu, leo Ijumaa Februari 14, 2025, katika Manispaa ya Morogoro. Lissu, ambaye yuko njiani kuelekea Ikungi, Singida, atasimama katika eneo la Msamvu kuwasalimia wananchi kabla...
  19. Pre GE2025 Wananchi wangekuwa wanamkubali kwa dhati Rais Samia kungekuwa na haja ya kuanzisha Samia Cup, Samia Legal Aid, Cheka na Samia na kadhalika?

    Wakuu Ni wazi kuwa kuna jitihada kubwa zinafanyika kumpaisha Rais Samia kila kona ya nchi kipindi hiki cha kuelekea Uchaguzi Mkuu. Kwenye michezo yupo! Mama Ntilie na gesi, machinga yupo! Sekta za afya na sheria yupo! Pesa kuendesha nchi ndio kabisa, kwa 200% yupo! Tujiulize je, hii ni ishara...
  20. Pre GE2025 Meya wa Mpanda atimiza ahadi, awakabidhi Baiskeli 20 Makatibu wa Matawi

    Msatahiki Meya wa Manispaa ya Mpanda, Hidary Summry, ametimiza ahadi yake kwa kuwapatia baiskeli 20 Makatibu wa Jumuiya na Makatibu wa Matawi katika manispaa hiyo. Kupata nyuzi za kimkoa Uchaguzi Serikali za Mitaa ingia hapa: LGE2024 - Special Thread: Orodha ya Mijadala ya Mikoa yote Tanzania...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…