Wakuu JF amani ya Bwana ikawe juu yenu kila mmoja kwa imani yenu ,popote mlipo ,niwatakie kheli ya mwaka mpya popote mlipo.
Husika na mada tajwa hapo juu.
Kuleni pesa ikitokea mtu kajipendekeza kwenu na vijisenti vyake ila kumbuka mmetumwa na wanachama ambao wamewapa dhamana kubwa ya kiuongozi...
Tundu Lissu, wewe kwa sasa ndio tishio kubwa sana kwa watu wa chama fulani na mgombea wao mtatajiwa wa uchaguzi mkuu wa mwakani.
Hivyo, nakushauri uwe makini sana katika mienendo yake yote kwani wanaweza kukufanyia jambo lolote baya na wakasingia chama chako ndio kimehusika kwa hoja ya vuguvugu...
Wakuu,
Wakati sarakasi za Uchaguzi wa Serikali za Mitaa zikeindelea kushika kasi, CHADEMA nao wameendelea kukisuka chama chao.
Hivi Karibuni Omary Toto amechaguliwa kuwa Mwenyekiti mpya wa CHADEMA mkoa wa Singida, akipata kura 52, sawa na asilimia 59.8% ya kura 87 zilizopigwa.
Soma pia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.