Mwenyekiti wa BAVICHA, John Pambalu amesema amepita kwenye ofisi kadhaa huko Newala na kukuta ofisi zimefungwa. Akitolea mfano Kijiji cha Mnyambe, Kata ya Mnyambe ambapo mpaka saa saba mchana, msimamizi wa uchaguzi alikuwa amefunga ofisi na kukimbia. Ameongeza kuwa mgombea kupitia CHADEMA...