Wakuu,
Yaani kauli anaitoa kiongozi wa CHADEMA halafu wanaenda kuhojiwa CCM kusemea kauli hiyo, kutakuwa na kutoegamia upande hapo ukizingatia tupo kwenye kipindi cha uchaguzi?
Mnategemewa kuhabarisha umma juu ya yanayotokea na nyie mnaishia kuwa chawa na kupe wapuuzi wananchi watapata taarifa...