uchaguzi nigeria 2027

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Tume ya Uchaguzi Nigeria (INEC) kutumia AI kukagua Matokeo ya Uchaguzi 2027

    Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi nchini Nigeria (INEC) imepanga kutumia teknolojia ya Akili Unde (AI) kusaidia kukagua na kuthibitisha matokeo ya uchaguzi mkuu wa mwaka 2027. Mwenyekiti wa INEC, Profesa Joash Amupitan, amesema tume hiyo imeanzisha kitengo maalum cha AI kitakachosaidia kubaini...
  2. R

    JamiiForums Tanzania Mahakama Nigeria yaamuru Tume ya Uchaguzi kukifuta Chama kikuu cha Upinzani kuelekea Uchaguzi wa Rais 2027

    Mahakama nchini Nigeria imeiamuru Tume ya uchaguzi kuifuta kwenye daftari la usajili chama kikuu cha upinzani pamoja na vyama vingine vinne kwa kushindwa kukidhi vigezo vya kikatiba. Uamuzi unaoweza kubadilisha uwanja wa ushindani kuelekea uchaguzi mkuu Januari 2027. Amri hiyo ilitolewa na Jaji...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…