Wakuu,
Jeshi la Polisi mkoa wa Njombe limetoa ufafanuzi kuhusiana na Zoezi la Uchaguzi wa Serikali za Mitaa ambapo zoezi hilo lilifanyika tarehe 27.11.2024 mkoani Njombe.
Ni kwamba Jeshi la Polisi Mkoa wa Njombe lilijipanga vema katika kushughulikia matukio yote ambayo yanahusiana na masuala...