Mahakama ya Wilaya ya Kigoma imebatilisha matokeo ya uchaguzi wa Serikali za Mitaa katika Mtaa wa Geza Ulole, Manispaa ya Kigoma Ujiji, mkoani Kigoma, na kuamuru uchaguzi huo urudiwe baada ya kubaini ukiukwaji wa taratibu na miongozo ya uchaguzi.
Uamuzi huo umetokana na kesi iliyofunguliwa na...
Wakuu,
Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) jimbo la Momba, mkoani Songwe, kimehitimisha kampeni zake za uchaguzi wa Serikali za Mitaa kwa kufanya mikutano katika kata za Bonde la Kamsamba wilayani Momba.
Mtia nia wa ubunge jimbo hilo, Fanuel Siyame, amewataka wananchi kuwachagua...
Wakuu,
Katibu wa Itikadi na Uenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) mkoa wa Dodoma Jawadu Mohamed amesema baada ya vyama vya upinzani kushindwa kuteua wagombea wenye sifa katika baadhi ya maeneo, amedai zipo tetesi za vyama hivyo kujiandaa kususia na kulalamikia matokeo ya Uchaguzi wa Serikali za...
Wakuu,
Tunawalipa CCM kwani wanatudai nini?
====
Mbunge wa Jimbo la Babati mjini Mhe. Paulina Gekul amewataka Wananchi wa Jimbo hilo kuhakikisha wanarudisha shukrani kwa Chama cha Mapinduzi kwa kukipa kura nyingi za ushindi kesho Jumatano Novemba 27.
Kupata taarifa na matukio ya kimkoa...
Wakuu,
Naibu Katibu wa Idara ya Habari, Uenezi, na Mahusiano ya Umma wa chama cha ACT Wazalendo taifa, Shangwe Ayo ametaka sheria za uchaguzi za serikali za mitaa zifuatwe ili wananchi wa watimize azma yao ya kupata viongozi bora watakaowatumikia kwa kipindi cha miaka mitano ijayo.
Shangwe...
Wakuu,
Safari hii kweli mambo magumu kwa CCM, mbinu za kijasusi zote zinatumika kuomba kura, bado kugeuza macho tu kama akina Zuchu :BearLaugh: :BearLaugh: :BearLaugh:
Kupata nyuzi za kimkoa Uchaguzi Serikali za Mitaa ingia hapa: LGE2024 - Special Thread: Orodha ya Mijadala ya Mikoa yote...
Kiongozi mstaafu wa ACT Wazalendo Zitto Kabwe akizungumza kwenye mkutano wa hadhara wa chama hicho huko Mvomero, mkoani Morogoro amewataka kikiunga mkono chama hicho katika chaguzi zijazo ikiwemo uchaguzi wa serikali za mitaa unaotarajiwa kufanyika Novemba mwaka huu.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.