Uchaguzi utafanyika katika Mitaa yote 564 ya Jiji la Dar ikiwa na Mgawanyo wa Wilaya ya Ilala Mitaa 159, Kinondoni Mitaa 106, Temeke Mitaa 142, Kigamboni Mitaa 67, Ubungo Mitaa 90.
Hatua zinazoendelea ni pamoja na Maandalizi ya Vifaa vya Uchaguzi, Uhakiki wa Vituo vya kuandikishia Wapiga kura...
"Rais Samia Suluhu Hassan ni mwana demokrasia wa kwanza katika Nchi yetu, kwahiyo ni wito wake kuwaomba watanzania na wana Dar es Salaam wote kuhakikisha Tunashiriki kwa kiasi cha kutosha ili tuweze kichagua Viongozi tunaowataka, na mwisho tuepuke malalamiko kwa kuchagua au kwa kutohusika...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.