uchaguzi serikali za mtaa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. B

    LGE2024 Unaenda kupiga kura uchaguzi Serikali za mtaa bila hata kuonyesha uthibitisho kama kweli wewe ndiye mhusika wa jina hilo

    Nilifika asubuhi kituo nilichojiandikisha kupiga kura nikakuta orodha ya majina yamebandikwa nje kwenye kuta nikatafuta jina langu nikaliona Baada ya hapo nikaingia kupiga kura msimamizi wa uchaguzi akaangalia jina langu kwenye orodha ya daftari lake akalitiki bila hata kupata uthibitisho kama...
  2. figganigga

    LGE2024 Vyama zaidi ya 10 vya Upinzani Tanzania, vimefurahishwa na mchakato wa Uchaguzi Serikali za Mtaa 2024?

    Salaam Wakuu, Hadi sasa hivi vyama vyama zaidi ya 10 vya Upinzani venye nia ya kuiondoa CCM madarakani, vipo kimya kana kwamba hakuna kinachoendelea. Je, vimefueahhishwa na mchakayo wa Uchaguzi Serikali za Mitaa? Nawaomba vyama vifuatavyo vijipambanue kuunga mkono au kutounga mkono Mchakato...
  3. Roving Journalist

    LGE2024 TAMISEMI: Jumla ya vijiji 12, 333, mitaa 4,269 na vitongoji 64, 274 vitashiriki uchaguzi wa Serikali za Mitaa Novemba 27, 2024

    Waziri wa nchi Ofisi ya Rais, Tawala za mikoa na serikali za Mitaa TAMISEMI Mohamed Mchengerwa ametangaza kuwa jumla ya vijiji 12, 333, mitaa 4,269 na vitongoji 64, 274 vitashiriki uchaguzi wa Serikali za Mitaa unaotarajiwa kufanyika Novemba 27, 2024. Katika orodha hiyo kumejumuishwa maeneo...
  4. Subira the princess

    Kama mchengerwa ndo msimamizi mkuu uchaguzi serikali za mtaa basi wapinzani mmekwisha.

    Wasalaam Zote tunajua kwamba bwana mchengerwa ni mkwe wa mama Samia kwa maana kamuoa mtoto wa rais. Na nakumbuka mwaka jana bwana mchengerwa alikula kiapo mbele ya rais Samia na kujiapiza kwamba uchaguzi wa serikali za mtaa mwaka 2024 hakuna mtaa hata mmoja utaenda upinzani. Hakika siku...
  5. Cute Wife

    Pre GE2025 Kanuni za Uchaguzi wa Mwenyekiti wa Kijiji, Wajumbe wa Halmashauri ya Kijiji na Mwenyekiti wa Kitongoji katika Mamlaka za Wilaya za Mwaka 2024

    Wakuu, Hizi hapa Kanuni za Uchaguzi wa Mwenyekiti wa Kijiji, Wajumbe, wa Halmashauri ya Kijiji na Mwenyekiti wa Kitongoji katika Mamlaka za Wilaya za mwaka 2024. Pia soma ~ Je, umeziona na kuzisoma kanuni mpya za uchaguzi wa serikali za mitaa? ~ Rasimu ya Kanuni za Uchaguzi wa Mwenyekiti wa...
Back
Top Bottom