"Uchaguzi wa tarehe 29 Oktoba 2025 ufutwe na kutangazwa uchaguzi mpya ili kuwapa nafasi wananchi ya kuchagua viongozi wanaowataka katika ngazi ya Rais, wa bunge na madiwani ili kurejesha umoja na mshikamano, amani na utulivu nchini.
Hauwezi ukasema kwamba tunaweza tukauendelea bila kufuta...