Kwa maoni yako ya kutaka Wakili Nkuba akubali kushindwa kwenye uchahuzi wa Rais wa Tanganyika Law Society (TLS) ulifiofikia tamati siku ya jana, jiandae kutenguliwa nafasi yako wakati wowote kuanzia sasa.
Madaraka ya kuhudumu at the pleasure of someone else, yanakupa kila kitu isipokuwa uhuru...
Hakika furaha haijifichi. Baada ya kumfanyia endorsement Wakili Mwabukusi kuwa Rais wa TLS na hatimaye kushinda uchaguzi huo, furaha ya Mwanasheria nguli nchini na Makamu mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Tundu Lissu haikufichika.
Hapa anasakata lumba kama kawaida. Mcheki!
Pia soma:Boniface...
Kiukweli Boniface Mwabukusi amejulikana juzikati tu wakati wa mchakato wa Bandari.
Mwabukusi amewahi kugombea Ubunge huko kwa akina Prof Mark kupitia NCCR Mageuzi lakini hakunaga anayejua. Ila ghafla kwenye Uchaguzi wa TLS huyu Mwabukusi amejulikana nchi nzima kwa wakubwa na Wadogo.
Boniface...
Ushindi wa Mwabukusi huko Dodoma kwa hakika utaleta mambo mengi ya kufikiri.
Moja, TLS sasa ina vijana na wamemchagua kijana mwenzao.
Pili, uchaguzi huu umefuatiliwa kwa makini karibu sehemu zote nchini.
Tatu, kutumia hila kumzuia Mwabukusi hadi zuio kushindwa Mahakama Kuu, ile ilikuwa...
Wakuu kwema?
Ukurasa wa X wa Tanganyika Law Society wameweka tangazo kuwa zoezi la kupiga kura limekamilika watu wanasubiri matokeo sawa.
Pia soma: Uchaguzi wa Rais TLS: Karatasi za kupigia kura zimeisha, mawakili wanasubiri karatasi nyingine ziletwe ili zoezi liendelee
Wakati upande...
Salaam, Shalom!
Kuna uvumi na tetesi zinaendelea kuwa wanasheria Toka Zanzibar ambao Wana chama Chao, kuwa wameletwa Dodoma na Serikali pia kupiga kura, wamelipiwa Kila kitu, Ili mtu wa Serikali ashinde.
Swali: je, wanasheria nao wanapokea RUSHWA?
Ikiwa Kweli wanasheria wananunulika, kwanini...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.