Fatma Karume atoa shule kwa waandishi habari na wananchi juu ya umuhimu wa TLS Tanganyika Law Society
https://m.youtube.com/watch?v=6Ga1OhmOZNI
Fatma Karume wakili bobezi aliyesajiliwa Middle Temple London, Mahakama Kuu Tanzania na Mahakama Kuu Zanzibar anatoa somo kazi kubwa ya TLS ni...
Ni dhahiri atatulia na atapoa sana, atabadilika mno, anaweza kupoteza ufuasi lakini pia anaweza kuongeza uungwaji mkono.
Ni kama nyumbu alietwezwa kwenye ziwa lenye mamba wakali sana na wenye njaa, atararuliwa sana atalalamika kuhujumiwa.
Ni namna ya kipekee na kitaalamu sana kumkomoa...
Mkuu wa Wilaya ya Shinyanga Wakili Msomi Julius Mtatiro amesema yeye kama Kampeni Meneja wa Wakili Nkuba amemshauri asiliendeleze suala hilo.
Mtatiro kupitia ukurasa wake wa X amesema Uchaguzi ulikuwa wa Wazi na Kidemokrasia na Wakili msomi Mwabukusi ndiye Mshindi halali
Ahsanteni Sana 😂...
Kuna wakati watanzania wa kawaida wanashindwa kuchagua kipi Bora kati ya Sheria kwa upande mmoja na amani na utulivu kwa upande wa pili. Mh. Mwabukusi, Rais mteule wa TLS anahubiri Sheria Sheria Sheria Sheria mwanzo mwisho kwenye taifa ambalo watu wake wanajiona kuwa wako huru, Wana amani na...
Nianze kwa kusema tu hii nchi ina pesa za mchezo. Maendeleo yanacheleweshwa kwa makusudi lakini fedha zipo.
Ni Jambo lisilopingika kwamba Serikali inatamani sana kuviweka vyama vya kitaaluma mkononi mwake.
Kwa wasiofahamu, Serikali ilituma mawakili wa Jamhuri kwenda kuongeza nguvu kwa mgombea...
Aliyekuwa mgombea wa nafasi ya Rais wa chama cha Wanasheria nchini TLS, Wakili Sweetbert Nkuba amekataa kutambua ushindi alioupata mpinzani wake wa karibu Mwabukusi kwa madai ya ukiukaji wa mwenendo wa uchaguzi.
Pia soma: Uchaguzi wa TLS 2024: Boniface Mwabukusi ashinda Urais, apata kura 1274...
Kwanza itakua ni wendawazimu mkubwa Kwa WATU tunaowaita Mawakili kua Wala Rushwa na Kupokea Rushwa ili mradi kura wampigie mtu anayetakiwa na Serikali.
Pili, Ni Ujinga wa kiwango Cha juu sana ikiwa Serikali itahitaji Kuiongoza TLS.
Tatu, Hili la Online TVs zote kua na Mtangazaji Mmoja, ni...
boniface mwabukusi
chadema
hongera
matokeo urais tls
mwabukusi ashinda urais tls
mwambukusi
tangayika law society
uchaguzitlsuchaguzi wa rais tlsuchaguzi wa tls
Wakili Msomi Tundu Antipas Lisu amesema Uchaguzi wa TLS ulikuwa Huru na Haki kama ilivyo kawaida yao miaka yote.
Lisu amesema Jukumu Kuu la TLS ni kusimamia Utawala wa Sheria nchini na kuwawakilisha Wananchi Mahakamani.
Soma zaidi: Uchaguzi wa Rais TLS: Nani kuibuka kidedea Urais TLS 2024?
Wakuu,
Tls waomba radhi kwa post waliyoweka kuhusu uchaguzi kuisha, wasema zoezi la kupiga kura litaendelea kwa muda wa saa moja kuanzia saa 07:20 mchana hadi 08:20 mchana.
Makamu Mwenyekiti wa Chadema, Tundu Lissu ameshiriki kupiga kura katika Uchaguzi Mkuu wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) unaoendelea jijini Dodoma huku akikumbushia namna alivyopigwa risasi miaka saba iliyopita.
Lissu ambaye ni mwanasheria, amesema hayo leo Ijumaa Agosti 2, 2024 jijini...
Salaam, Shalom!
Kuna uvumi na tetesi zinaendelea kuwa wanasheria Toka Zanzibar ambao Wana chama Chao, kuwa wameletwa Dodoma na Serikali pia kupiga kura, wamelipiwa Kila kitu, Ili mtu wa Serikali ashinde.
Swali: je, wanasheria nao wanapokea RUSHWA?
Ikiwa Kweli wanasheria wananunulika, kwanini...
Salaam Wakuu,
Pamoja na kwanza Mawakili hasa wa kujitegemea na Wananchi wote wanampenda Mwabukusi, lakini Serikali imeshatia Mguu, Mawakili wote wa Serikali wamelipiwa kwenda Dodoma kupiga Kura.
Na wapo kikazi kwani wamepewa Maelekezo kwamba Nkuba ashindwe.
Kwa siasa za TLS, na Mawakili...
Fuatilia yanayojiri kwenye Mkutano Mkuu wa Chama cha Wanasheria Tanganyika 2024 - Dodoma.
Naibu Waziri Mkuu, Dkt. Dotto Biteko akijibu hoja ya Mawakili kukamatwa wanapotekeleza majukumu yao amesema kuwa Serikali imelichukua hili. Amesema kuwa nchi hii inaendeshwa kwa misingi ya sheria hivyo...
Nimefatilia kwa undani sana huu mdahalo wa TLS election candidates, na namfahamu sana nkuba na bwana boniface mwabukusi.
Nkuba ana uwezo wa kuwa kiongozi. Hata akishindwa TLS, huyu bwana tunamuhitaji katika medani ya siasa ya taifa.
Kuna muda hatuhitaji watu harsh tunahitaji watendaji, nchi...
Namba hazidanganyi hata kama akishinda kwa halali bado sifa yake ya kuwa mwanachama wa chama cha mapinduzi inaonekana kama imemchafua.
Siku hizi ukiwa kijana na ukawa mwanaccm jamii na vijana wenzako wanakutazama kwa jicho la Tofauti kabisa na huwenda ikakukosesha fursa muhimu. Njia pekee...
Kwa huku iliyotolewa leo tarehe 26/07/2024 je TLS na Serikali wanaweza kukata Rufaa? Endapo watakata rufaa uchaguzi utaendelea au utasogezwa mbele kusubiri maamuzi?
Hongera Mwambukusi kura yangu unayo baada ya kusikia matamanio yako ya utekelezaji s. 4.
Nimefurahi pia kwamba umekubali kuwa...
Chama cha Mawakili Tanganyika (TLS), leo Julai 20, 2024 kimeendesha mdahalo wa wagombea urais wa chama hicho pamoja na wagombea wa Chama cha Mawakili Vijana (TYL).
Katika mdahalo huo ambao umeendeshwa na Mwandishi wa Habari wa muda mrefu, Jenerali Ulimwengu, wagombea wamepata fursa ya kunadi...
Katika kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Chama cha Wanasheria wa Tanganyika (Tanganyika Law Society -TLS), utakaofanyika Agosti 2, 2024, Wakili Msomi Peter Kibatala ametishia kususia Uchaguzi huo ikiwa Wakili Boniface Mwambukusi hatarudishwa kwenye orodha ya Wagombea
Soma; Kamati ya Rufaa ya Uchaguzi...
Mwabukusi akitema cheche
Baada ya wakili Boniface Mwabukusi kukatwa kwenye kinyang'anyiro cha kugombea urais wa Chama cha Wanasheria wa Tanganyika (TLS), kwa madai ya kuwa na doa la kimaadili kinyume na kanuni za uchaguzi huo, ameibuka akisema kuwa wakati wa zoezi hilo la uchaguzi, aliwekewa...